Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

171 results for Mwandishi Maalum :

  1. Mtanzania ashikiliwa na polisi Uganda kufuatia kifo cha straika Vipers

    BAADA ya kifo cha mshambuliaji wa Nigeria, Abubakar Lawal anayeichezea Klabu ya Vipers ya Uganda, Mtanzania Naima Omary anahusishwa na tukio hilo, lililotokea asubuhi ya Jumatatu ya Februari 24...

  2. PRIME RIPOTI MAALUM-2: Kilichojificha nyuma ya kufeli wanamichezo

    KILIO cha wanamichezo wa Kitanzania kushindwa kufanya vizuri katika mashindano ya kimataifa bado hakijapatiwa ufumbuzi.

  3. PRIME RIPOTI MAALUM-1: Anayewafelisha wanamichezo Bongo ni huyu

    UMEWAHI kujiuliza ni kipi hasa kinawafanya wanamichezo wa Kitanzania kushindwa kufanya vizuri hasa mashindano ya kimataifa? Weka kando mchezo wa mpira wa miguu ambao unatajwa kuwa ndiyo unapendwa...

  4. PRIME Ripoti maalumu… Madokta wa timu 7 Ligi Kuu matatani

    KANUNI za usajili na leseni za Klabu za Shirikisho la Soka Afrika (CAF), ni mojawapo kati ya miongozo muhimu ambayo ndani yake imetoa maelekezo ya kufuatwa ili kulinda usalama wa kiafya katika soka.

    Ripoti Pict
  5. Curry, Ayesha wakaribisha NBA All-Star kitaa

    KWA familia ya nyota wa Golden State Warriors, Stephen Curry, wikendi hii tangu juzi, Ijumaa ni mwendo wa pati tu na kutoa michango yao kwa jamii. Unaambiwa watu walikuwa wakinywa, kula na kusaza.

  6. Kwa Rashford pesa siyo shida, anataka tu kucheza

    WANASEMA ukiona cha nini wengine wanawaza watakipata line. Ndicho kilichotokea kwa Marcus Rashford ambaye alikuwa hapati namba kwenye kikosi cha Manchester United na zaidi hakujumuishwa kabisa...

    Rashford Pict
  7. Mkakati maalum… Isak, Sesko kutua Arsenal

    VIGOGO wa Arsenal wanaamini kuwa watavuna matokeo ya kutosajili mchezaji yeyote katika dirisha lililopita ifikapo mwisho wa msimu huu.

    Mkakati Pict
  8. PRIME Sintofahamu kupewa uraia wa 'mchongo' wachezaji Singida

    Wachezaji waliopewa uraia ni Emmanuel Keyekeh, ambaye ni raia wa Ghana, Josephat Bada wa Ivory Coast na Muhamed Camara kutoka Guinea.

  9. Zanzibar Heroes waalikwa Ikulu, walamba Sh50 milioni

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk, Hussein Ali Mwinyi ameizawadia Timu ya Taifa ya Zanzibar, Zanzibar Heroes Tsh50 Milioni baada ya kutwaa ubingwa wa Kombe la Mapinduzi 2025.

    ZNZ Pict
  10. Mashabiki Simba wabebeshwa faini ya CAF

    Ahmed alisema kuwa mchango huo utumwe moja kwa moja katika namba ya klabu.

Previous

Page 4 of 18

Next