Search

186 results for Mustafa Mtupa :

  1. Yanga yamweka matatani kocha Mamelodi

    WAKATI mechi ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa kati ya Yanga na Mamelodi Sundowns inakaribia kuchezwa, huko Mamelodi kimenuka. Ni hivi, kocha wa timu ya taifa ya Afrika Kusini, Hugo Broos...

  2. Yanga yamgombanisha kocha Mamelodi

    WAKATI mechi ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Yanga na Mamelodi Sundowns ikibakiza takriban siku tisa kuchezwa, huko Mamelodi kimenuka. Ni hivi! Kocha mkuu wa timu ya taifa ya...

  3. Ben White akataa kuitwa kwenye kikosi cha England

    Kocha wa timu ya taifa ya England, Gareth Southgate amesema beki wa Arsenal, Ben White hajajumuishwa kwenye kikosi cha wachezaji 25 kitakachoingia kambini kwa ajili ya mechi za kirafiki za...

  4. Wydad huu ni mwaka wao dume

    NI mwaka wa taabu. Ndio, inashangaza. Wydad Casablanca ya sasa sio ile. Inapitia magumu nje na ndani ya uwanja. Kwenye msimamo wa Ligi Kuu Morocco, Botola Pro 1, inakamata nafasi ya tano ikiwa na...

  5. Yanga, Simba zapewa mchongo kufuzu nusu fainali CAF

    WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Damas Ndumbaro amesema Serikali itakutana na Shirikisho la Soka nchini na klabu za Simba na Yanga ili kuona inatoa mchango gani kuhakikisha timu hizo...

  6. Mambo manne, Simba, Yanga kufuzu nusu fainali

    OFISA habari wa Bodi ya Ligi Kuu Bara, Karim Boimanda, ametaja mambo manne ambayo anaamini yataziwezesha Simba na Yanga kufuzu hatua ya nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa barani Afrika. Karim...

  7. Ndumbaro: Mashabiki wanaopokea wageni kushughulikiwa

    WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Damas Ndumbaro amesema Serikali itakutanma na Shirikisho la Soka nchini na klabu za Simba na Yanga ili kuona inatoa mchango gani kuhakikisha timu hizo...

  8. Dube: Mokwena anaiogopa Yanga

    MWANDISHI wa habari kutoka Afrika ya Kusini, Dube Mthoko amesema Kocha wa Mamelodi Sundowns, Rhulani Mokwena Hloae anaiogopa Yanga kuelekea mchezo wao wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika...

  9. Arafat: Simba, Yanga ziache kusaidia wageni

    MAKAMU wa rais wa Yanga, Arafat Haji amesema Simba na Yanga zina nafasi ya kutinga nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa ikiwa zinatajipanga vizuri na kutumia zaidi uwanja wa nyumbani na mashabiki...

  10. Kocha Mamelodi kujichimbia ili kuitazama Yanga

    BAADA ya kuwafahamu wapinzani wao, kocha wa Mamelodi Sundowns, Rhulani Mokwena amesema anakwenda kujichimbia kuitazama zaidi Yanga kiufundi wakati wa mapumziko ya kalenda ya mechi za...

Previous

Page 4 of 19

Next