Search

142 results for Kelvin Kagambo :

  1. PRIME TUONGEE KISHKAJI: Kinachowaponza Bongofleva ni Kiswahili

    RAFIKI wa mtoto wangu alikuwa anafanyiwa sherehe ya kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa kwake 'Birthday party' nyumbani kwao, kwahiyo wazazi wengine ikabidi tuwapeleke watoto wetu kwa ajili ya kuruka...

  2. TUONGEE KISHKAJI: Wasanii wanaotisha mashindano ya vipaji huenda wapi?

    NIMEBOREKA naingia Youtube natafuta video za usaili wa Bongo Star Search ili nicheke. Ndiyo, ili nicheke najua Bongo Star Search ni shindano la kusaka vipaji vya waimbaji, lakini kipindi cha...

  3. TUONGEE KISHKAJI: Vita ya Amapiano imetushinda, tuicheze sasa

    KWENYE sanaa kuna falsafa inasema "hakuna msanii anayeweza kutengeneza sanaa mpya." Wakimaanisha kwamba hakuna kitu ambacho hakijawahi kufanyika kwenye sanaa. Yaani usitegemee kuona filamu ambayo...

  4. TUONGEE KISHKAJI: Muda wa kuwa msanii nusu nusu umepita

    NIKIKUPA orodha ya wasanii wa muziki ninaowasikiliza sana Mbosso atakuwa ni mmoja wao. Sikumbuki kama kuna siku nimewahi kusikiliza nyimbo tano halafu ikakosekana ngoma ya Mbosso. Na sio peke...

  5. TUONGEE KISHKAJI: Wanamuziki wanaoandika sana wanahitaji huruma yetu

    INADAIWA binadamu wa kisasa wamepoteza kabisa uwezo wa ku-focus, wazungu wanaita ‘Attention Span’. Takwimu za mwisho zinadai kwamba wastani wa mtu wa kisasa ku-focus ni sekunde nane. Na hiyo ni...

  6. TUONGEE KISHKAJI: Basata, Tuzo za TMA na Malaika aliyenikataza kuandika mistari

    , naandika wimbo mwingine. Mchezo ndo ukawa huo, kila nikiandika wimbo, naona mwepesi, naachana nao naandika mwingine. Hadi siku malaika aliponishukia na kunambia, Kagambo, muziki sio jambo...

  7. TUONGEE KISHKAJI: Wasanii wetu wanatugombanisha na Basata

    TUNALALAMIKA hatuoni majina ya wasanii wetu kwenye orodha iliyotajwa ya wasanii wanaowania Tuzo za Muziki Tanzania 2022. Tunalalamika kwamba tuzo zimekaa kiwaki, wasanii waliowekwa kwenye hizo...

  8. TUONGEE KISHKAJI: Waandishi tunamdisi Dogo Janja kwa vitu ambavyo wenyewe tunaviishi

    CHARLES Abel, mwandishi wa gazeti hili ni mmoja wa watu wachache sana sana sana ninaowafahamu duniani wasiokuwa wanafiki hata kidogo. Na neno mnafiki mimi hulitafsiri kama kuzungumza vitu...

  9. TUONGEE KISHKAJI: Wasanii waimbao kizungu wanazingua, ukiwasema mtagombana

    NIKO na washkaji tunazungumzia namna wanamuziki wa Bongo wanavyoimba nyimbo zao kwa Kiingereza siku hizi. Mmoja anasema wasanii wengi wa Bongo wanazingua, wanaimba lugha ambayo hawaiwezi...

  10. TUONGEE KISHKAJI: Movie ya Bob Junior inakuja, tujiandae

    NAOMBA tutafutane baada ya miaka 10 kuanzia sasa twende tukatazame filamu kuhusu tukio la kifo cha Simba, Bob Junior iliyotengenezwa na watu ambao sio Watanzania. Nakwambia hivyo kwa sababu...

Previous

Page 4 of 15

Next