HADITHI: Bomu Mkononi - 6 Mishi, binti mrembo wa Kitanga, anakolea kwa kijana dereva wa malori, Musa, ambaye amefika bei anataka kumuoa mwanadada huyo. Musa anaenda kumfanyia 'shopping' ya begi la harusi Kariakoo...
Bomu mkononi - Sehemu ya 9 KUNGWI wangu akanitazama kisha akaniuliza. “Inakuwaje unatangulia kulala, tena unajifanya unakoroma wakati mume wako anaoga. Wakati mume wako anapanda kitandani ana mahitaji yake kwako, wewe...
HADITHI: Bomu Mkononi - 3 MISHI Ramadhani Mzaka, Binti wa Kitanga baada ya kupewa lifi na dereva wa malori, aitwaye Musa, anamvutia mwanaume huyo.... Mwanaume anamtumia muamala kwenye simu, binti anafurahia maokoto......
HADITHI: Bomu mkononi - 2 MISHI Ramadhani Mzaka, Binti wa Kitanga aliyewachanganya waume watatu kwa mpigo. Walimuoa kwa ndoa halali kila mmoja kwa wakati wake. Akawa anaishi nao wote bila wenyewe kujuana. Alijiona mjanja...
SIMULIZI YA HADITHI: Bomu Mkononi - 4 NILIKUWA nimepanga maswali yangu ya kumuuliza nitakapokutana naye. Majibu yake ndiyo yangekuwa vigezo muhimu kwa upande wangu vya kuamua kuwa naye au kuacha kuwa naye.
HADITHI: Laana ya Fedha (sehemu ya 04) Wakati nafika nyumbani nikaliona gari la Alhakim lipo barazani. Nikashituka sana. Miguu ilinitepeta kwa hofu. Nusura ningeanguka chini...
HADITHI: Laana ya Fedha (sehemu ya 03) Nikaondoka haraka katika eneo hilo. Nikiwa katika mtaa mwingine sasa nikielekea katika kituo cha daladala. Nikaliona tena gari la Alhakim nyuma yangu. Nikagundua kuwa Alhakim alikuwa akinichunguza.
HADITHI: Laana ya Fedha (sehemu ya 02) Tukatokea katika maduka ya Kariakoo. Tuliingia katika maduka matatu tofauti. Aliniambia nichague vitu ninavyovitaka. Sikuona aibu. Nilimkomoa. Nikanunua nguo za Sh2.2 milioni. Akalipa fasta.
HADITHI: Laana ya Fedha (sehemu ya 01) Laana ya Fedha ni hadithi mpya kutoka kwa mkongwe wa riwaya kali za kimaisha, kimapenzi na mikasa mingineyo ya inayosumbua jamii. Huyu hapa mtunzi gwiji FAKI A. FAKI anakuletea mzigo...
Kundemba yaishusha rasmi Ngome ZPL Kundemba ambayo nayo haina uhakika wa kusalia kwenye ligi hiyo iwapo itachemsha katika mechi ya kufungia msimu, ilipata ushindi huo muhimu kwenye Uwanja wa Mao A, mjini Unguja na kuifanya...