Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

166 results for Aisha Mbuma :

  1. PRIME Yanga yaangukia pua rufaa ya Aucho TFF

    Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania imejadili maombi ya marejeo ya klabu ya Yanga kuhusu adhabu ya kufungiwa michezo mitatu 3 na kutozwa faini ya Sh500,000 iliyotolewa...

  2. Medeama kuiwahi Yanga ikimkosa beki wake mahiri

    Kikosi cha Medeama ya Ghana kinatarajiwa kuja nchini Jumapili Desemba 17 kwa ajili ya mchezo wa marudiano wa raundi ya nne wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Yanga kwenye Uwanja wa Benjamin...

  3. Wimbo wamponza Madee, Basata yamfungia

    Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) limefungia kujihusisha na muziki, Hamadi Ally “Madee” na kumtaka kushusha mara moja wimbo aliouchapisha jana Desemba 13 wenye maudhui yanayokiuka...

    New Content Item (1)
  4. Kocha Kaizer Chiefs amtuliza Chivaviro

    Kitendo cha kukasirika baada ya kutolewa kwa straika wa Kaizer Chiefs, Ranga Chivaviro kimetafsiriwa na kocha wa muda wa timu hiyo, Cavin Johnson kama nyota huyo wa zamani wa Marumo Gallants...

  5. Kwa hesabu hizi Yanga anatoboa makundi CAF

    Matokeo ya suluhu iliyoipata Al Ahly nyumbani Cairo dhidi ya CR Belouizdad yameifanya Yanga kuwa na matumaini ya kufuzu robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Yanga ilipata sare ya bao 1-1 na...

  6. TPLB yaufungia Uwanja wa Liti, sababu zatajwa

    Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imeufungia Uwanja wa Liti uliopo mjini Singida unaotumiwa na klabu ya Singida Fountain Gate kama uwanja wa nyumbani kutokana na kukosa vigezo vya kikanuni na...

  7. Kazi imeanza ASFC, Yanga, Simba zapewa vibonde

    Vigogo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba, Yanga na Azam wamepewa vibonde katika hatua ya kusaka tiketi ya 32 bora kwenye mashindano ya Kombe la Shikisho la Azam (ASFC). Katika Droo iliyopangwa leo...

  8. Aliyeipa USM Alger ubingwa mbele ya Yanga atua Simba

    Ikiwa imepita miezi kadhaa Wanayanga wakiwa na kumbukumbu mbaya baada ya kupoteza Kombe la Shirikisho Afrika mbele ya USM Alger iliyokuwa chini ya Kocha Abdelhak Benchikha, sasa mbabe huyo...

  9. Stars yatumia salamu Morocco

    TIMU ya taifa ya Tanzania, ‘Taifa Stars’ imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Niger katika mchezo wa kuwania kufuzu fainali ya Kombe la Dunia 2026. Bao pekee la mchezo huo wa kwanza kuwania...

  10. Aucho afungiwa mechi tatu, kulipa faini Sh500,000

    Nyota wa Yanga, Khalid Aucho amefungiwa kutocheza michezo mitatu na faini ya Sh500, 000 (laki tano) kwa kosa la kumpiga kiwiko mchezaji Ibrahim Ajibu wa Coastal Union, kwenye mchezo uliofanyika...

Previous

Page 4 of 17

Next