Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Aliyeipa USM Alger ubingwa mbele ya Yanga atua Simba

Ikiwa imepita miezi kadhaa Wanayanga wakiwa na kumbukumbu mbaya baada ya kupoteza Kombe la Shirikisho Afrika mbele ya  USM Alger iliyokuwa chini ya Kocha Abdelhak Benchikha, sasa mbabe huyo ametua kwa watani wao Simba akisaini mkataba wa miaka miwili.

Benchikha alijiuzulu kuiongoza USM Alger Oktoba 9, 2023.

Simba imethibitisha kumchukua kocha huyo ambaye atakuwa mrithi wa mikoba ya Robertinho ambaye aliacha kibarua cha kuinoa Simba Novemba 07, 2023.