Bale aogopa kufilisika SUPASTAA, Gareth Bale amefichua jambo linalompa hofu kubwa kuwa ni kufilisika.
Kipa Lammens apewa mchongo wa Anfield Hasa ukizingatia kwamba Liverpool imepoteza mechi tatu tu kati ya 83 za Ligi Kuu England ilizocheza kwenye uwanja wake huo katika kipindi cha misimu mitano.
Ivory Coast ya Pacome na vigogo waliofuzu Kombe la Dunia 2026 SUPASTAA wa mabingwa wa kandanda nchini, Yanga, kiungo Pacome Zouzoua huenda akaiwakilisha Ligi Kuu Bara kwenye fainali zijazo za Kombe la Dunia 2026 endapo atachaguliwa kuunda kikosi cha Ivory...
Taifa Stars yachapwa tena, yamaliza dakika 540 bila ushindi MABAO mawili yaliyofungwa Iran katika dakika 26 za kwanza, yametosha kuifanya timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars kushindwa kuambulia ushindi kwenye mechi sita mfululizo ilizocheza sawa na...
Isak, Gyokeres waiponza Sweden STRAIKA, Alexander Isak amefichua hasira zaidi baada ya Sweden kushindwa kufanya vizuri kwenye mechi za kufuzu Kombe la Dunia licha ya kuwa na fowadi ya kiwango cha dunia.
Mabosi PSG wanamtaka Lamine Yamal MABOSI wa Paris Saint-Germain wameripotiwa kuwa na imani kwamba watamng'oa Lamine Yamal kutoka Barcelona.
Dah! Pogba apata kimeo kingine KIUNGO wa AS Monaco, Paul Pogba amepata pigo baada ya kuumia na sasa ataendelea kusubiri kabla ya kucheza mechi yake ya kwanza kwenye kikosi hicho cha miamba ya Ufaransa.
Cristhian Mosquera apewa mchongo Colombia BEKI wa kati, Cristhian Mosquera huenda akabadilisha soka lake la kimataifa kutoka Hispania hadi Colombia baada ya kufanya vizuri kabisa Ligi Kuu England akiwa na kikosi cha Arsenal
Ahmed Ally aeleza mwarobaini kutokomeza jezi feki Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally, ameendelea na ziara yake mikoani yenye lengo la kutoa elimu kwa wanachama na mashabiki juu ya madhara ya kuvaa jezi feki, ambapo leo...
Madrid yadhamiria kumuuza Vinicius Jr Saudi Arabia Real Madrid imedhamiria kumuuza winga wao wa kimataifa wa Brazil, Vinicius Junior, 25, dirisha lijalo la majira ya kiangazi kwenda Saudi Arabia.