Wanyonyi ashinda tuzo ya dunia, autamani ubingwa wa Ultimate Championships
BINGWA wa Olimpiki na dunia katika mbio za mita 800, Emmanuel Wanyonyi kutoka Kenya, amesema analenga kuvunja rekodi yake binafsi na kuongeza taji la kwanza la mashindano mapya ya World Athletics...