Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

9752 results for Mwandishi :

  1. Mbappe majanga Madrid, kukaa nje siku 21

    MSHAMBULIAJI wa Real Madrid, Kylian Mbappe anaripotiwa atakuwa nje ya uwanja kwa walau wiki tatu, kutokana na jeraha la goti la kushoto.

    MBAPPE Pict
  2. Yule aliyewaibua Saka, Nwaneri kusepa Arsenal

    MKUU wa akademi ya Arsenal, Per Mertesacker, ameripotiwa kuwa na mpango wa kuondoka kwenye klabu hiyo mwishoni mwa msimu huu.

    MATASAKA Pict
  3. Majeraha yazidi kuitafuna Spurs

    TATIZO la majeruhi katika kikosi cha Tottenham Hotspur limezidi kuwa baya zaidi baada ya mchezaji wao wa kimataifa wa Brazil, Richarlison, kuondoka Uwanjani akiwa anachechemea katika mechi yao ya...

    SPURS Pict
  4. Amorim anawawaza tu Mbeumo, Amad

    MANCHESTER United kijasho kinawatoka kwa sababu ya kuwasubiri Bryan Mbeumo, Amad na Noussair Mazraoui, ambao wote wako kwenye majukumu ya kimataifa wakicheza Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON)...

    AMORIM Pict
  5. Guardiola asababisha hofu kubwa Man City

    RIPOTI zinafichua watu wa ndani wa Manchester City wameanza kupata hofu juu ya uwezekano wa Pep Guardiola kuondoka kwenye kikosi hicho kuliko hata hukumu ya mashtaka 115 yanayowakabili kwenye...

    GUARDIOLA Pict
  6. Dili jipya la Kane lipo tayari mezani

    STRAIKA, Harry Kane amefichua kuwa mazungumzo ya kuongeza mkataba mpya Bayern Munich yanatarajiwa kufanyika muda wowote kuanzia sasa.

    KANE Pict
  7. Xabi Alonso apigwa chini Real Madrid

    XABI ALONSO ameachana na Real Madrid siku moja baada ya kupoteza fainali ya Super Cup dhidi ya Barcelona. Taarifa ya klabu imesema uamuzi wa kocha huyo mwenye umri wa miaka 44 kuondoka ulifanywa...

    ALONSO Pict
  8. Kuna timu Ujerumani inamtaka Xabi Alonso

    XABI Alonso inaripotiwa kufikiwa kwa ajili ya kurejea kwenye kazi ya ukocha, ikiwa ni wiki moja baada ya kufukuzwa na Real Madrid.

  9. Pigo City, Gvardiol avunjika mguu

    MANCHESTER City imethibitisha beki kisiki, Josko Gvardiol amevunjika mguu.

    PIGO Pict
  10. Mane ataja chanzo cha kugoma kutoka uwanjani fainalin AFCON

    Nyota wa Senegal, Sadio Mane amesema kuwa aliamua kuwakataza wenzake kugomea mechi ya fainali ya AFCON 2025 dhidi ya Morocco jana kwa vile tukio hilo linaharibu taswira ya soka.

    New Content Item (1)
Previous

Page 293 of 976

Next