Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

8766 results for Mwandishi :

  1. Mourinho apiga kijembe cha Carrick Man United

    OSE Mourinho ameipiga kijembe Manchester United baada ya klabu hiyo kumteua Michael Carrick kuwa kocha wa muda.

    MOURINHO Pict
  2. Kocha KMC FC akiri mambo magumu Ligi Kuu

    BAADA ya sare ya bao 1-1 ugenini dhidi ya Coastal Union, kocha Mkuu wa KMC, Mohammed Abdallah ‘Bares’ amesema kikosi chake bado kina hali ngumu, hivyo kinaendelea kupambana kujiondoa mkiani huku...

    BARES Pict
  3. Clara, Masaka waitwa kukiwasha WAFCON 2026

    KOCHA wa timu ya taifa ya wanawake ya Tanzania maarufu Twiga Stars, Bakari Shime ametangaza kikosi cha awali kitakachojiandaa na michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake (WAFCON) 2026,...

    CLARA Pict
  4. Simba yalaani Mangungu kufanyiwa vurugu Benjamin Mkapa

    Uongozi wa Simba umelaani vitendo vya vurugu alivyofanyiwa Mwenyekiti wa Klabu hiyo, Murtaza Mangungu baada ya kumalizika kwa mchezo baina yao na Esperance ya Tunisia, leo Jumapili, Februari...

    MANGUNGU Pict
  5. Jude Bellingham azua presha England

    JUDE Bellingham ameshindwa kujizuia na kuangua kulia baada ya kulazimika kutolewa nje kutokana na jeraha la misuli ya paja akiwa na Real Madrid.

    JUDE Pict
  6. Spurs yamfuta kazi kocha wake Frank

    KOCHA, Thomas Frank amefutwa kazi ya kuinoa Tottenham Hotpur kutokana na kikosi hicho kupata matokeo ya hovyo.

  7. Eze adai kazi ya mkewe inamtuliza

    STAA wa Arsenal, Eberechi Eze, amesema kazi ya mkewe kama muuguzi wa chumba cha wagonjwa mahututi (ICU) imempa “ukumbusho wa uhalisia” kuhusu presha ya kufuatilia na kushinda mataji.

  8. Pochettino atajwa kurudi Tottenham Hotspur

    MABOSI wa Tottenham Hotspur wanadaiwa kuwa katika mpango wa kutaka kumrejesha Mauricio Pochettino katika msimu ujao baada ya kumfuta kazi kocha Thomas Frank.

    SPURS Pict
  9. Ronaldo anabipu watu wanampigia

    AL-Nassr hawatamzuia Cristiano Ronaldo iwapo nyota huyo mwenye hasira ataamua kushikilia msimamo wa kuondoka wakati wa dirisha lijalo la uhamisho wa majira ya kiangazi, huku kipengele cha kuvunja...

  10. Rekodi tamu ya JKT Tanzania msimu huu 2025/26

    BAADA ya ushindi dhidi ya Mashujaa ikifikisha pointi 27 kwenye mechi 15 ilizocheza, JKT Tanzania imebakiza tatu za ushindi ambazo ni sawa na pointi tisa ili kufikia rekodi ya alama 36...

    JKT Pict
Previous

Page 291 of 877

Next