Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

973 results for Oscar Oscar :

  1. MASTORI YA OSCAR: Kuna shida gani kwa Fiston Mayele?

    HATUWEZI kuwakuza wachezaji wetu wazawa, kwa kuwachukia wachezaji wageni. George Mpole amekuwa mfungaji bora wa ligi iliyomalizika hivi karibuni nchini kwetu Tanzania. Pongezi nyingi sana kwake.

  2. UBISHI WA MZEE WA KALIUA: Kuna Yanga moja tu nchi hii

    WALE ndiyo Yanga katika ubora wao. Unaweza kuwakataa mdomoni lakini moyoni unajua kabisa shughuli yao huwa haiwi ya kitoto. Wanapoamua kufanya shughuli yao, huifanya kwa asilimia zote. Ni kama...

  3. UBISHI WA MZEE WA KALIUA: Bwalya na Kambole mahakamani?

    MZEE wa Kaliua nimekabidhiwa rungu la hakimu, mezani nina kesi mbili za kuzihukumu. Kesi kati ya raia wawili wa Zambia na klabu mbili kubwa nchini Tanzania. Kesi ya kwanza, mshitakiwa ni Simba...

  4. UBISHI WA MZEE WA KALIUA: Simu ya Aziz Ki inavyoita pesa kutoka Tanzania

    NIKASIKIA kiungo hatari wa Asec Mimosas, raia wa Burkina Faso, Stephen Aziz Ki amekaribia kumalizana na Yanga. Kabla msimulizi wangu hajamaliza kunisimulia ghafla nikasikia Simba wameingilia...

  5. Sura mpya kikosi Yanga, inaweza kuwa na vikosi viwili vyenye uwepo wa Aziz Ki

    hicyo, mchambuzi wa masuala ya michezo nchini, Oscar Oscar alisema Ki ni moja kati ya vijaambao umri wake na uwezo ni faida kwenye timu, ingawa ameitaka Yanga isiweke matumaini ya...

  6. MASTORI YA OSCAR: Zama zinabadilika, lakini Kajala bado anatamba...

    KAJALA Masanja ni mwigizaji na mrembo aliyedumu kwenye kiwanda cha burudani kwa muda mrefu. Ni zaidi ya miaka 20 sasa Kajala ameendelea kusumbua. Haiji tu kwa bahati mbaya. Inahitaji kujitunza...

  7. UBISHI WA MZEE WA KALIUA: Kamati za saidia Taifa Stars tunaunda lini?

    HADI kesho nitaendelea kuamini hakuna maana bora zaidi ya mwanasiasa kuizidi ile ya Mjerumani, Max Weber. Katika ubora wake Weber alisema Mwanasiasa ni mtu yeyote asiyefurahi kuona matatizo...

  8. Mlemavu wa macho anayetamani kuiona Simba 'live' uwanjani

    kuiendesha, huku akiomba wadau na mashabiki wenye nia waweze kumsaidia kuiimarisha timu hiyo. “Wapo wachezaji ambao walikuwa kwenye timu zetu za ndondo huko vijijini kama Oscar Mwajanga wa...

  9. UBISHI WA MZEE KALIUA: Yanga SC walivyoweka upande wao mechi ya derby

    JINSI Feisal Salum alivyokimbia pembeni kwenye kibendera akiwa ameziba uso wake kushangilia bao la mbali alilomtungua kipa wake wa zamani, Beno Kakolanya ni jinsi hiyohiyo alikuwa amekimbia na...

  10. UBISHI WA MZEE WA KALIUA: Muda wa kuteta na Yanga baada ya ubingwa wao

    UNAHITAJA moyo mgumu wa Adolf Hitler kuamini kwamba Yanga hawatakuwa mabingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu. Kwamba Yanga watashindwa kushinda mechi moja katika nne zilizobaki? Kwamba Yanga...

Previous

Page 30 of 98

Next