Maafande wa JKU inajipigia tu Zenji WATETEZI wa Ligi Kuu ya Zanzibar (ZPL), JKU ubingwa inautaka tena baada ya juzi kuendelea kugawa dozi katika ligi hiyo na kuzidi kujiimarisha kileleni mwa msimamo ikiifyatua Tekeleza ya Pemba kwa...
JKU yabeba ubingwa Ligi Kuu ya Zanzibar MAAFANDE wa JKU imemaliza ubishi kwa kutwaa taji la Ligi Kuu Zanzibar (ZPL), jana Ijumaa baada ya kutoka sare ya 1-1 na Kipanga, huku Zimamoto ikicharazwa mabao 2-0 na New City wakati ligi hiyo...
PRIME Siri yafichuka, Chama apewa mkataba mnono Yanga Hata hivyo, mara baada wakala huyo kujifungia na Chama wakizungumzia dili hilo, kiungo huyo alishindwa kukubaliana na ofa hiyo akiwaambia atabaki Tanzania, ingawa anaweza kucheza timu tofauti na...
Caravans T20... Lions yawaliza Flashnet Strikers ILIKUWA ni jioni njema kwa Park Mobile Lions baada ya ushindi mnono wa mikimbio 60 dhidi ya Flashnet Strikers katika mduara (oval) wa Leaders Club jijini, Dar es Salaam mwishoni mwa juma.
Kumekucha Climate Change Marathon 2024 MSIMU wa tatu wa mbio za mabadiliko ya Tabia Nchi kwa mwaka 2024, Climate Change Marathon 2024 zinatarajiwa kufanyika wilayani Pangani kwa mara ya kwanza zikihusisha washiriki kutoka ndani na...
Kitendawili Mwanachi Day! Yanga yaficha jina la timu KLABU ya Yanga jana usiku ilizianika jezi mpya za msimu ujao, zilizogeuka gumzo ikiwa ni siku chache tangu watani wao, Simba kuzindua uzi wao katika hifadhi ya Mikumi, Morogoro huku mabosi wa...
Hatimaye De Gea apata timu KIPA wa zamani wa Manchester United, David de Gea ameripotiwa kufikia makubaliano ya kujiunga na Fiorentina kwa mkataba wa mwaka mmoja. Inaelezwa.
Rekodi tatu alizoweka Welbeck, Man United ikichapwa EPL Brighton iliendeleza ubabe wake dhidi ya Manchester United jana ikiibuka na ushindi wa mabao 2-1 nyumbani huku nyota wake Danny Welbeck akiandika rekodi mbili.
Tanzania yatoka kapa Olimpiki 2024 KWA mara nyingine tena Tanzania imetoka kapa katika Michezo ya Olimpiki 2024 wanariadha waliokuwa wamesalia katika michezo hiyo inayomalizika leo jijini Paris, Ufaransa Magdalena Shauri akimaliza...
Man United inavyojisuka upya Manchester United, imefikia makubaliano ya kumuuza beki wake Aaron Wan Bissaka kwenda kwenye kikosi cha West Ham.