Xavi Simons aona mwezi Tottenham Hotspur ALIYEWAHI kuwa kocha wa Brentford, Thomas Frank, alipata ushindi dhidi ya klabu yake ya zamani baada ya Tottenham Hotspur kukatiza mwendo wa mechi tano bila ushindi kwa kuchukua pointi tatu...
Harry Kane hii sasa sifa, afanya kufuru Harry Kane alitoka benchi na kufunga hat-trick wakati Bayern Munich walipokuwa na ushindi mkubwa wa 5-0 dhidi ya VfB Stuttgart ushindi wao wa 72 ambao ni rekodi katika Bundesliga na kuongeza...
Baada ya kuangusha pointi, Arteta atoa neno zito Mikel Arteta amesisitiza kuwa vinara wa Ligi ya Premia, Arsenal, watarejea wakiwa bora zaidi baada ya fadhaa ya kipigo cha kustua cha 2-1 walichopata kutoka kwa Aston Villa, kilichofungua upya...
Una ushuzi? Ajira hii hapa changamka! KATIKA jamii nyingi hapa nchini na Afrika kwa ujumla suala la kushuta (kujamba) hadharani tena mbele ya waliokuzidi umri, huonekana kama ni kitendo cha kukosa heshima.
Durant staa wa nane NBA kufikia rekodi ya 31,000 KEVIN Durant amekuwa mchezaji wa nane katika historia ya Ligi ya Kikapu Marekani (NBA) kufikisha pointi 31,000, lakini simulizi tamu ni namna alivyofikia rekodi hiyo.
Timu 12 Ulaya zapiga hodi Man United kumtaka Kobbie Mainoo KIUNGO wa Manchester United na timu ya taifa ya England, Kobbie Mainoo, 20, anawindwa na timu 12 Ulaya ambazo zinasubiri kwa hamu kuona kama mabosi wa Man United watakuwa tayari kumwachia staa...
Caicedo ni pengo kubwa Chelsea CHELSEA iliweza kupambana jino kwa jino na vinara wa Ligi Kuu England, Arsenal baada ya kumpoteza kiungo Moises Caicedo, lakini ilikuja kuonyesha kiwango cha hovyo dhidi ya timu inayopambana...
Amorim asema kitu kuhusu Mainoo KOCHA wa Manchester United, Ruben Amorim amekubali kwamba kitendo cha Kobbie Mainoo kukosa muda wa kutosha wa kucheza umemfanya mchezaji huyo aathirike kisaikolojia.
Trent ni majanga baada majanga BEKI wa kulia, Trent Alexander-Arnold atakuwa nje ya uwanja kwa muda usiopungua miezi miwili baada ya kuumia mguu wakati wa mchezo wa Real Madrid ilipoichapa Athletic Bilbao mabao 3-0.