Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

9580 results for Mwandishi :

  1. Mke wa Zinchenko si mchezo anamchambua hadi Guardiola

    BEKI wa zamani wa Manchester City na Arsenal, Oleksandr Zinchenko (29) kwa sasa ni baba wa watoto wawili katika ndoa na mpenzi wake wa kitambo, Vlada Sedan (30), ambaye ni wanahabari kutokea huko...

  2. Fei Toto awazidi Maxi, Kipre Jr

    Kiungo wa Azam FC, Feisal Salum 'Fei Toto' amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa Ligi Kuu mwezi Novemba. Fei Toto amewashinda wachezaji Kipre Junior wa Azam na Maxi Nzengeli wa Yanga ambapo katika...

  3. Polisi Tanzania yashusha kocha Mrundi

    KLABU ya Polisi Tanzania imefikia makubaliano na kocha, Joslin Sharif Bipfubusa kwa ajili ya kukinoa kikosi hicho msimu ujao. Joslin (37) raia wa Burundi anachukua nafasi iliyoachwa wazi na...

  4. Yanga kuwakosa hawa dhidi ya JKT Tanzania

    Wachezaji hao muhimu wataukosa mchezo wa kesho Jumatano, utakaochezwa uwanja wa Jamhuri Jijini hapa.

  5. Simba yaomba radhi

    Klabu ya Simba inaomba radhi kwa waumini wa dini ya Kikristo, viongozi wa madhehebu yote ya Kikristo, Serikali, Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania na jamii kwa ujumla kwa usumbufu uliojitokeza...

  6. Ambundo mlangoni Dodoma Jiji

    WINGA wa Yanga, Dickson Ambundo imeelezwa anaweza akarejea tena Dodoma Jiji kutokana na kukosa namba ndani ya kikosi hicho, ambapo Jesus Moloko anaonekana kuwa kwenye kiwango cha juu. Habari za...

  7. Ushahidi waanza kesi ya Manara v Karia

    MASHAHIDI waanza kutoa ushahidi wa tukio la Msemaji wa Yanga Haji Manara dhidi ya Rais wa Shirikisho la soka Tanzania (TFF), Wallace Karia.

  8. Mtibwa yaitangulia Yanga

    MTIBWA Sugar ndiyo ilikuwa ya kwanza kuingia kwenye uwanja wa Manungu wakiingia saa 14:08 huku Yanga wakiingia saa 14:24 mchana.

  9. Amazulu yafunguka kumtaka Pablo

    KLABU ya Amazulu inayoshiriki Ligi ya Afrika Kusini ‘DStv Premiership’ imekanusha taarifa ya kumtaka aliyekuwa kocha wa Simba, Pablo Franco.

  10. Wasudani wa Yanga CAF wapata kocha mpya

    MPINZANI wa Yanga kwenye hatua ya awali Ligi ya Mabingwa Afrika, Zalan FC ya Sudan ya Kusini jana imemtambulisha kocha mpya Baping Alliab.

Previous

Page 29 of 958

Next