Bocco aifumua Simba SC mabosi wahaha, Mbrazili majanga MABOSI ya Simba wamekiangalia kikosi chao kwa sasa na kubaini kama hawatajipanga mapema wanaweza kupata aibu Januari 4 watakapovaana na watani zao, Yanga katika mechi ya Ligi Kuu Bara.
Shoo ya kibabe Ligi Kuu Tanzania Bara WAKATI Ligi Kuu Bara ikiwa kwenye mapumziko ma-fupi huku baadhi ya timu zikiwa zimecheza michezo 11 na Yanga ikiwa imeshuka dimbani mara tano pekee, Simba ndio kinara wa kufumania nyavu za...
Hapa Simba ilizidiwa ujanja! JICHO la Mwanaspoti lilifuatilia mchezo huo kwa dakika zote 90 na ifuatayo ni tathmini ya mchango wa mchezaji mmojammoja katika kikosi cha kila timu na kwa namna gani alichangia katika kupatikana...
Mwadui yaivunja rekodi ya Simba kibabe Ligi Kuu Tanzania Bara Huu ni ushindi wa pili wa Mwadui tangu ilipopanda ligi msimu wa 2015-16, katika michezo tisa wamefungwa mitano na kutoka sare michezo miwili.
Homa mpya Yanga, Simba sasa ipo hapa tu Yanga ilianza ligi kwa kupokea kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa Ruvu Shooting wakati Simba iliifunga JKT Tanzania mabao 3-1. Katika mechi hizo safu za ushambuliaji za timu zote mbili zilianza kwa...
Huku Lipuli macho kwa Mrundi Haruna MATUMAINI ya wakazi wa Iringa na vitongoji vyake msimu huu wa 2019/20 yapo mabegani mwa Mrundi, Haerman Haruna ambaye ni kocha mkuu wa timu hiyo na msaidizi wake, Samweli Moja.
Straika Namungo awataka wachezaji kuchangamkia fursa nje MSHAMBULIAJI wa Namungo FC, Mburundi Bigirimana Blaise amesema licha ya wachezaji wazawa kuwa na vipaji vya hali ya juu, amebaini kinachowakwamisha kutikisa nje ya mipaka ya nchi zao.
HISIA ZANGU : Madagascar wamekusanya kina Farid Mussa wengi UNAWASHANGAA Madagascar? Ni kama Farid Mussa tu. Nilimpenda Farid Mussa niliyemuona katika michuano hii.
Kwa Nance ukauzu wa Yondani mwisho getini buana Ni nadra kumwona Yondan anatabasamu, akizungumza ovyo kama ilivyo kwa wachezaji wengine ambao ni wacheshi, pamoja na mwonekano huo mbele ya wadau wa soka ila kwa mke wake anaonyesha tabasamu kama...
HISIA ZANGU : Fei Toto, Diatta alama ya tunachovuna Cairo ULIMUONA Fei Toto juzi Jumapili? Niliishia kucheka kwa uchungu. Unaachaje? Mmoja kati ya viungo bora kabisa katika Ligi Kuu yetu. Juzi alijikuta katika kundi la mamba wenye hasira akapwaya.