Tizi la Simba Morocco hadi raha Wachezaji 15 waliokuwa katika msafara wa kwanza kwenye kambi hiyo ya Rabat, walianza kupigishwa tizi la maana katika mazoezi yaliyofanyika viwanja vya Dawliz. Awamu hiyo ilifanyika Alhamisi...
Kambi ya kishua Yanga Morocco hii hapa hilo lina ukubwa wa hekta 30 na miundombinu ya michezo mbalimbali. Kutembelea eneo lote hilo unahitaji usafiri wa ndani ambao ni gari maalumu na ili kufika katika kila miundombinu...
Cheka amkubali Mwakinyo katika mahojiano maalumu na gazeti hili, Cheka alisema katika orodha ya mabondia wa sasa anamkubali Mwakinyo. “Tena ni baada ya kuweka rekodi ya kuwa bondia namba moja Africa na wa 14...
HATARI! Cheki derby za kibabe Afrika MWISHO wa ubishi. Kuanzia saa 11:00 jioni kwenye Uwanja wa Benjamini Mkapa, jijini Dar es Salaam kuna shughuli pevu itafanyika wakati vikosi vya Simba na Yanga vitakapovaana katika mechi yao ya...
Fri-kiki za Morrison balaa UNALIKUMBUKA lile bao la frii-kiki ambalo kipa, Aishi Manula alitunguliwa na winga Benard Morisson wakati huo akicheza katika kikosi cha Yanga kwenye mechi ya dabi duru la pili msimu iliyopigwa...
Vodacom wavunja mkataba Ligi Kuu MSIMU ujao wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara haitaitwa tena Vodacom Primier Ligue (VPL) baada ya Vodacom kuvunja mkataba wa kuendelea kuwa mdhamini wa Ligi Kuu kwa sababu mbalimbali zilizoelezwa na...
Maajabu Yanga, kanuni na Kamati ya Saa 72 BILA shaka umeshawahi kusikia Yanga Kampuni na Yanga Asili. Lakini utakuwa umewahi kusikia kuhusu Yanga Katiba na Yanga Ukuta. Hayo ni makundi yaliyowahi kuibuka ndani ya Yanga katika nyakati...
Kocha mpya Mtibwa Sugar abebeshwa matumaini kubakisha Ligi Kuu Kocha Mohamed Badru ametua kiroho ngumu katika klabu ya Mtibwa Sugar kutokana na matokeo mabaya ya ligi kuu Tanzania bara lakini mchezo wake wa kwanza ameweza kuibua na ushidi wa bao 2-0 dhidi ya...
Gekul aipongeza Simba Queens juhudi kubwa mlizoonyesha katika kipindi chote cha ligi na kuweza kuwa mabingwa kwa mara ya pili mfululizo," amesema Gekul. "Ligi ilikuwa na ushindani mkubwa lakini mmeweza kuibuka...
Mrisho Ngassa: Nilivaa jezi ya Yanga kwa hasira MRISHO Khalfan Ngassa ni winga anayekubalika katika soka la Bongo na sehemu nyingi. Ni winga mwenye kasi awapo kwenye majukumu. Ngassa amecheza soka kwa mafanikio akiwa na timu tofauti hasa Yanga.