Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

345 results for Mwandishi Maalumu :

  1. Masau Bwire: Simu 9, Magrupu 286 ya WhatsApp

    KATIKA watu wenye mbwembwe kwenye soka la Tanzania kwa sasa ni Ofisa Habari wa Ruvu Shooting, Masau Bwire. Ni miongoni mwa watu wenye vitu adhimu ambavyo vimetokea kuwakosha mashabiki wengi nje ya...

  2. Kumwadhibu zaidi Zouma ni mbaya kiafya

    WIKI iliyopita habari kubwa katika Ligi Kuu England (EPL), ilimhusu beki wa kati wa klabu ya West Ham, Kurt Zouma ambaye video iliyosambaa mitandaoni ilimwonyesha akimpiga teke paka wake na...

  3. Inonga arudisha mkwanja Yanga, amkimbia Mayele Airport

    MSIMU huu mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, Simba walimsajili kibabe beki wa kati, Henock Inonga Baka ‘Varane’ kutoka DC Motema Pembe ya Ligi Kuu DR Congo kwa mkataba wa miaka miwili. Usajili wa...

  4. HISIA ZANGU: Albadiri ya Tanga na usela wa Djuma Shaban

    wanashutumiana kuhusu matokeo hayo. Katika makundi ya mitandaoni zilisikika kelele nyingi kwamba Coastal wamehujumiana wenyewe kwa wenyewe na ndio maana timu imefungwa. Nawajua wajomba zangu watu...

  5. TFF yaanika kisa cha Barbara kuzuiwa kwa Mkapa

    SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limefafanua taarifa ya Ofisa Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba, Barbara Gonzalez kuzuiwa kuingia kushuhudia timu yake ikicheza dhidi ya Yanga leo uwanja wa Mkapa.

  6. Polisi watoa tamko kuelekea derby ya Simba v Yanga

    Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es salaam limejipanga kikamilifu kuhakikisha ulinzi unaimarishwa kwa kiwango cha hali ya juu katika mchezo wa watani wa jadi Simba na Yanga siku ya...

  7. Waamuzi wapewa onyo zito

    SIKU chache baada ya waamuzi wa soka visiwani Pemba kupewa mafunzo maalumu kwa ajili ya Ligi Kuu ya Zanzibar, Shirikisho la Soka Zanzibar (ZFF), limesema halitamvumilia mwamuzi yeyote...

  8. Miaka 60 ya kihistoria michezoni

    kutoka kampuni ya Azam Media na Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC). Mbali na udhamini huo, lakini soka la Tanzania pia limeweka heshima kubwa kwenye mataifa mengine kwa nyota waliobahatika...

  9. SIMBA DAY: Simba ni taifa kubwa, mabingwa wa nchi

    MABINGWA wa soka nchini, Simba inajiandaa kuadhimisha siku maalumu ya klabu hiyo maarufu kama Simba Day. Tofauti na ilivyozoeleka, tamasha la msimu huu linafanyika Septemba 19 badala ya...

  10. Molinga afunguka kwanini ametua Namungo

    uongozi uliamua kuachana na mshambuliaji huyo ambaye alikuwa ameitumikia timu hiyo kwa msimu mmoja. Hata hivyo, wakati anaicheza Yanga, Molinga aliwahi kuifunga Namungo FC mabao mawili katika sare...

Previous

Page 27 of 35

Next