Hanspope, Dk Msolla na Kibadeni watoa neno usajili Simba, Yanga “Usajili wa Simba na Yanga kwa kiasi fulani umetikisa, lakini ligi itakapoanza ndipo tutaona kama tunachoaminishwa sasa ndicho kimefanyika katika viwango hasa kwa wageni,” Kibadeni
Simba yaleta beki wa Ulaya Joseph Stanley Okumu anayekipiga klabu ya IF Elfsborg inayoshiriki Ligi Kuu ya Sweden. Beki huyo kisiki anayekipiga timu ya Taifa ya Kenya, Harambee Stars ni kati ya wachezaji saba ambao Simba...
Huku Mwamnyeto, kule yupo Chama, usipime! Taasisi hiyo iliyo chini ya nahodha wa Taifa Stars anayechezea Aston Villa, Mbwana Samata na nyota wa muziki, AliKiba imekuwa ikitumia fedha inazopata katika mechi za aina hiyo zinazochezwa kila...
Kishindo kikubwa usajili Yanga YANGA iko kwenye hatua za mwisho kumalizana na winga wa zamani wa CD Teneriffe ya Hispania, Farid Mussa ambaye ataingia kambini na wenzake Jijini Dar es Salaam Jumatatu ijayo lakini Kamati...
JULIO: Morrison? Mbona ningemnyoosha . “Katika maisha yangu yote ya ukocha ukiachana na mengi niliyoyafanya, hakuna linalozidi mchezo wetu dhidi ya Yanga mwaka 2013 tulipotoka nyuma kwa mabao matatu na kulazimisha sare ya 3-3. Mimi na...
Roma aliitaka Zimbabwe akapewa viza ya Marekani AGOSTI 2017, tulikuwa na safari ya mguu kwa mguu na Rapa Ibrahim Mussa Mshana ‘Roma Mkatoliki’, kwenda Zimbabwe. Roma alitoa wimbo unaoitwa Zimbabwe, akionesha kuwa alikuwa na mengi...
Mkichokoza tu...Yanga inatua hapa KAMA uchokozi wa Simba utaendelea na wakala wa Bakary Mwamnyeto akizingua, Yanga imetamba itabeba mabeki wawili matata sana.
JICHO LA MWEWE: Wanaotusumbua ni hawa wachezaji 15 tu wa kigeni ULE mjadala wa wachezaji wa kigeni umerudi tena.
Boban? Ebu cheki a.k.a za nyota hawa! BRAZILI inatajwa kama nchi ambayo wachezaji wake wamekuwa wakiitwa kwa majina ya utani kuliko majina yao halisi, kama ilivyo kwa makoloni yao ya zamani, Msumbiji na Ureno.
Hii ndio tofauti ya Tenga, Karia dhidi ya Kariakoo LEODEGAR Chilla Tenga anafahamika zaidi kwa uongozi wake madhubuti kama Rais wa TFF kuanzia 2005 hadi 2013.