Kipa Lammens apewa mchongo wa Anfield Hasa ukizingatia kwamba Liverpool imepoteza mechi tatu tu kati ya 83 za Ligi Kuu England ilizocheza kwenye uwanja wake huo katika kipindi cha misimu mitano.
Ishu ya Uwanja Man United iko hivi MANCHESTER United ina matumaini ya kupata ardhi zaidi ili kuharakisha mpango wao wa kujenga uwanja mpya wa kisasa utakaokuwa na uwezo wa kuingiza watu 100,000.
Kocha Chelsea alimwa mamilioni KOCHA wa Chelsea, Enzo Maresca, amefungiwa kwa mchezo mmoja kuiongoza timu yake uwanjani na kutozwa faini ya Pauni 8,000 (zaidi ya Sh25 milioni) na Shirikisho la Soka la England kutoka na kosa...
Fjortoft amkingia kifua Wirtz, awashangaa wanaomlaumu Aliyekuwa mshambuliaji wa Norway, Jan Aage Fjortoft, amemtetea kiungo wa Liverpool, Florian Wirtz, akisema mchezaji huyo wa Kijerumani analaumiwa kwa kila jambo linalokwenda vibaya ndani ya...
Afrika yatikisa Kombe la Dunia U20 Timu tatu kati ya nne za Afrika zimefanikiwa kutinga hatua ya 16 ya Fainali za Kombe la Dunia la Vijana Chini ya Umri wa miaka 20 zinazoendelea nchini Chile.
Ferdinand amaliza utata wa nani bora kati ya Rice na Caicedo Gwiji wa soka nchini England, Rio Ferdinand ametoa maoni yake kuhusu nani bora kati ya nyota wa Arsenal, Declan Rice na Moisés Caicedo wa Chelsea, ambao wameibua mijadala mitandaoni kufuatia...
Peter Lammens amkosha Schmeichel GWIJI wa Manchester United, Peter Schmeichel ametoa maoni yake kuhusu kipa mpya wa klabu hiyo, Senne Lammens alifanya vile ambavyo kipa wa timu kubwa kama hiyo alitakiwa kucheza.
Bayern Munich kufanya umafia kwa Guehi BAYERN Munich imehusishwa na mpango wa kufanya shambulizi la kushtukiza la kumsajili beki wa Crystal Palace, Marc Guehi.
FIFA yairuhusu Fountain Gate kusajili nje ya dirisha la usajili Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) limeridhia klabu ya Fountain Gate kufanya usajili nje ya dirisha la usajili