Arajiga aandika historia kwa kadi nyekundu CHAN 2024 Jana refa Ahmed Arajiga alichezesha kwa mara ya kwanza mechi ya Fainali za Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ligi za Ndani (CHAN) ambapo alikuwa refa wa kati wa mchezo baina ya Algeria na Niger...
Taifa Stars yaanguka nafasi nne viwango FIFA Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars imeanguka kwa nafasi nne katika viwango vya ubora wa soka vya Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) vilivyotangazwa leo, Septemba 18, 2025.
Simeone afunguka sababu ya kumvaa shabiki KOCHA wa Atletico Madrid, Diego Simeone amefichua kwa nini aligombana na shabiki wa Liverpool baada ya Atletico Madrid kupoteza Anfield katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya juzi, Jumatano.
Slot awavaa wachambuzi KOCHA wa Liverpool, Arne Slot amelalamikia wachambuzi wanaozungumzia sana wachezaji wake wapya na gharama zilizotumika kuwasajili jambo ambalo haoni kama lina afya kwa ukuaji wao.
Wakala wa Saliba aomba kikao Arsenal WAKALA wa beki kisiki wa Arsenal, William Saliba ametuma ombi la kukutana haraka na mabosi wa Arsenal ili kujadili mkataba mpya katika nyakati hizi ambazo Real Madrid imeonyesha kuongeza dhamira...
Nuno mbioni kupata shavu West Ham United KOCHA wa zamani wa Nottingham Forest, Nuno Espirito Santo, ndiye anayependekezwa kuwa mrithi wa Graham Potter ambaye amekalia kuti kavu huko West Ham na muda wowote anaweza kufukuzwa.
Watano Liverpool nje Carabao Cup KOCHA wa Liverpool, Arne Slot amewataja wachezaji watano ambao hawataonekana katika mechi ya raundi ya tatu ya Kombe la Carabao dhidi ya Southampton leo, Jumanne
Arteta azidi kumtetea Gyokeres BAADA ya Victor Gyokeres kuonyesha kiwango cha chini katika mchezo mgumu wa Ligi Kuu England dhidi ya Manchester City, Kocha wa miamba hiyo ya London amemtetea, huku akiitaka timu kuendelea...
Madueke pigo lingine Arsenal WINGA wa Arsenal, Noni Madueke anatarajiwa kuwa nje ya uwanja kwa takriban miezi miwili kutokana na jeraha la goti alilopata dhidi ya Manchester City.
Julian Nagelsmann afunguka kiwango cha Wirtz KOCHA wa Liverpool, Arne Slot, ametumiwa ujumbe na kocha wa timu ya taifa ya Ujerumani, Julian Nagelsmann ambaye amesema kiwango kisichoridhisha kinachoonyeshwa na Florian Wirtz si kosa la staa...