Morocco haendi Morocco, ni zamu ya Gamondi Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limemtangaza Kocha Miguel Gamondi kuwa kaimu kocha mkuu wa timu ya taifa (Taifa Stars), akichukua nafasi ya Hemed Suleiman ‘Morocco’.
Balaa la Bundesliga, La Liga usipime! UTAMU kolea. Ndicho unachoweza kusema kuhusu vipute vya wikiendi hii kwenye La Liga na Bundesliga.
Fadlu Davids aihofia KenGold ataja ugumu ulipo Kocha wa Simba, Fadlu Davids amesema kuwa timu yake inaingia kwa tahadhari kubwa katika mechi dhidi ya Kengold kesho katika Uwanja wa KMC Complex, Mwenge licha ya wapinzani wao kushika mkia...
Oxlade-Chamberlain bado kidogo asepe zake huko STAA, Alex Oxlade-Chamberlain yupo kwenye hatua za mwisho za kuachana na Besiktas ya Uturuki.
Courtois majanga tena, kukaa nje miezi miwili Kipa wa Real Madrid Thibaut Courtois atakuwa nje kwa miezi miwili baada ya kupata majeraha akiwa mazoezini leo mchana.
Ali Kamwe aaga Jangwani, ataja sababu Ofisa Habari ya Yanga, Ali Kamwe amejiuzulu nafasi ya umeneja habari na mawasiliano wa Yanga huku Akitaja sababu ya kumaliza muda wake ikiwa ni muda mchache baada ya wana jangwani hao kuishushia...
Simba Queens yaambulia sare, kuikabili Kenya Police Bullets Wawakilishi wa Tanzania Bara katika michuano ya timu za soka za wanawakw ukanda wa Cecafa, Simba Queens wamemaliza kibabe mechi za makundi kwa kulazaimishwa sare ya 2-2 dhidi ya PVP Buyenzi ya...
Familia ya Mandojo yataja msiba ulipo Msiba wa mwanamuziki na mfanyabiashara, Joseph Francis maarufu Mandojo kwa siku ya leo upo Dodoma kwa ajili ya taratibu nyingine za mazishi.
Morrison adaiwa kudakwa na Polisi, kisa shabiki wa Yanga Muda mfupi baada ya kumalizika mchezo wa Yanga dhidi ya Simba mshambuliaji wa Simba, Bernard Morrison amefikishwa kituo cha Polisi kwa madai ya kumshambulia mtu.
Simba yaatangaza uzi mpya kimataifa KLABU ya Simba imetangaza jezi mpya watakazotumia kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika ambapo wao wanaanzia ugenini kucheza na Plateau United ya Nigeria.