Jimmy Cliff afariki dunia akiwa na miaka 81 IKONI wa muziki wa Reggae kutoka Jamaica, Jimmy Cliff, afariki dunia jana akiwa na miaka 81.
Mabilionea timu wanazo, hela wanazo STEVE Ballmer wa Los Angeles Clippers kwa mara nyingine tena anaongoza orodha ya mabilionea 25 wanaomiliki timu za michezo mbalimbali duniani wakiwa na jumla ya ukwasi wa thamani ya Dola 607...
KMC, Mtibwa Ligi Kuu Bara ngoja tuone! NA leo tena! Ndivyo unavyoweza kusema wakati KMC iliyotoka kupasuka nyumbani katika mechi iliyopita mbele ya maafande wa JKT Tanzania, leo itashuka tena uwanjani kuvaana na Mtibwa Sugar...
UNA USINGIZI? Fahamu mashindano ya kulala duniani HAKUNA taarifa kamili juu ya wapi rasmi yalipoanzia ingawa ripoti nyingi zinaeleza yalianzia Uholanzi mwaka 2010 katika siku ya maadhimisho ya kulala duniani.
Ligi ya Mabingwa Ulaya, London imenoga Ni siku ya kawaida pale London, mishale ya saa inasoma saa 2:00 usiku. Afrika Mashariki mshale wa saa unasoma saa 5:00 usiku. Ni kivumbi cha Ligi ya Mabingwa Ulaya, Chelsea itakuwa mwenyeji wa...
Marc Guehi azisubirisha Real Madrid, Liverpool na Barcelona INAELEZWA beki kisiki wa Crystal Palace, Marc Guehi mwenye umri wa miaka, 25, yupo tayari kusubiri hadi mwisho wa msimu huu ili kufanya uamuzi wa wapi atakwenda baada ya kumalizika kwa mkataba wake.
Fainali za Afrika 2025 zamtisha Amorim KOCHA wa Manchester United, Ruben Amorim anafikiria kuomba kucheleweshwa kwa safari ya mastaa wake watakaoshiriki Fainali za Kombe la Mataifa Afrika (Afcon), kutokana na ratiba ya mechi zijazo.
Vita ya ubingwa yaendelea EPL, Arsenal yatajwa MAMBO yanazidi kunoga England. Hadi sasa Arsenal ndio inaonekana kupewa nafasi kubwa ya kushinda taji la ligi hiyo kutokana na mwendelezo wa matokeo mazuri ambao imekuwa ikiyapata tangu kuanza...
Amitabh, Shah Rukh Khan wamlilia Dharmendra SAA chache baada ya mwigizaji mkongwe wa filamu, Dharmendra, kufariki dunia nyumbani kwake leo Jumatatu, Novemba 24, ikithibitishwa na Shirika la Habari la IANS, rafiki yake wa muda mrefu na...