Shakira amsifia Messi, Antonela MWANAMUZIKI maarufu duniani, Shakira amempongeza nahodha wa Argentina, Lionel Messi kutokana na kiwango bora alichoonyesha katika ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya England uliowapeleka mabingwa...
Bondia adaiwa kuuawa kwa kuchomwa moto Sauzi TAARIFA kutoka Afrika Kusini zinadai kwamba, Bondia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Roméo Katompa Kaboya, maarufu kwa jina la "Bololo", ameripotiwa kuuawa kwa kuchomwa moto ndani ya...
Bondia afariki baada ya miaka 11 ya kupambania uhai BONDIA maarufu wa Puerto Rico, Prichard Colón, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 33, Alhamisi ya Agosti 13, 2026. Kifo chake kimethibitishwa na baba yake, Richard Colón, kupitia mitandao ya...
Man United yaingia anga za Simba Manchester United imefuata nyayo za Simba SC baada ya kutangaza rasmi kampuni ya Betway kuwa mdhamini mpya wa jezi za mazoezi za klabu hiyo, kampuni ambayo tayari ni mshirika mkuu wa miamba ya...
Liverpool kukipiga Tottenham Carabao Cup LIVERPOOL imepangwa kukutana na Tottenham Hotspur katika raundi ya tatu ya Carabao Cup, huku timu tisa za Ligi Kuu England zinazoshiriki michuano ya Ulaya zikianza kampeni zao katika hatua hiyo.
Kipigo cha Kagera Sugar chamuachia maumivu Kaseja Kocha Mkuu wa Kagera Sugar, Juma Kaseja amesema ameumizwa na kipigo cha mabao 6-2, ilichokipata timu yake dhidi ya Geita Gold, lakini akaahidi kurejea mazoezini kutafuta tiba ya upungufu wa...
Barcelona yafuatilia mkataba wa Harry Kane BARCELONA inafuatilia kwa karibu mazungumzo yanayoendelea kuhusu mkataba mpya wa mshambuliaji wa Bayern Munich na nahodha wa England, Harry Kane.
Mbappé aumia goti, kuikosa mechi ya Ubelgiji TIMU ya taifa ya Ufaransa itamkosa straika Kylian Mbappe aliyetoka uwanjani akichechemea baada ya kuonekana kupata jeraha la goti, muda mfupi baada ya kuifungia bao la ushindi dhidi ya Uturuki...
Nicolas Batum asema inatosha! MCHEZAJI wa nafasi mbalimbali katika mchezo wa kikapu, Nicolas Batum ameamua kustaafu baada ya kucheza kwa miaka 18 katika Ligi ya Kikapu Marekani (NBA) pamoja na kipindi kirefu akiwa na timu ya...