Carragher afuta kauli yake kwa Casemiro JAMIE Carragher hatimaye amekiri soka halijamwacha nyota wa Manchester United, Casemiro, kama alivyodai hapo awali.
Clara, Masaka waitwa kukiwasha WAFCON 2026 KOCHA wa timu ya taifa ya wanawake ya Tanzania maarufu Twiga Stars, Bakari Shime ametangaza kikosi cha awali kitakachojiandaa na michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake (WAFCON) 2026,...
Arteta apewa ubingwa, Pep asema tutaona! JAMIE Redknapp anaamini mbio za ubingwa wa Ligi Kuu England zimekwisha baada ya Manchester City kuangusha pointi tena katika juhudi zao za kuifukuzia Arsenal chini ya Kocha Mikel Arteta.
Guardiola aandaliwa warithi wake Etihad MANCHESTER City inaandaa mipango ya maisha baada ya Pep Guardiola huku uvumi ukiongezeka huu unaweza kuwa msimu wake wa mwisho katika klabu hiyo ya Etihad.
Makocha wagusia kutojiamini kikapu IMEKUWA ni kawaida kwa baadhi ya wachezaji wazawa wa kikapu nchini kutojiamini katika mechi wanazocheza kutokana na aina ya ushindani wanaokutana nao kutoka kwa wachezaji wa timu pinzani.
Rooney: Alexander Isak ajilaumu mwenyewe GWIJI, Wayne Rooney amesema hana huruma kwa straika Alexander Isak, akidai mchezaji huyo ndiye wa kujilaumu mwenyewe baada ya kushuhudia uhamisho wake wa kuvunja rekodi ya Uingereza kwenda...
Anayekipiga nje ataja watatu WBDL SUPASTAA wa zamani wa timu DB Lioness, Orlyne Londo aliyetimkia Bravehearts ya Malawi inayoshiriki Ligi ya Kikapu nchini humo amewataja Jesca Lenga wa DB Troncatti, Jesca Ngisaise (JKT Stars) na...
Hizi hapa ratiba tatu ngumu NBA hadi ubingwa KWA kawaida Ligi ya Kikapu Marekani ina ratiba tatu ngumu. Kwanza kuna kipindi cha timu zote kucheza katika kanda zao yaani Mashariki na Maghariki na hiki huwa ni kati ya Oktoba hadi Aprili...
Raheem Sterling anahitaji simu moja tu! DIRISHA la usajili linafungwa leo, lakini bado kuna wachezaji wenye ubora mkubwa wanaopatikana kusajiliwa bila ada katika soko la uhamisho wa wachezaji huru na kinachotakiwa ni simu yako tu...
Ukonga Kings imerudi Ligi ya Kikapu Dar TIMU ya Ukonga Kings imerejea katika Ligi Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (BDL), baada ya kuifumua Magone kwa mechi 2-0 katika nusu fainali ya Ligi Daraja la Kwanza, na hivyo kujihakikishia nafasi...