Simba yavuta winga, kutua Dar leo WAKUBWA wawili wa Simba wapo Ghana kutafuta mashine mpya zitakazokuja kuongeza makali ya kikosi hicho, lakini za moto kabisa ni kwamba kesho Ijumaa kuna kitu kinatua Dar es Salaam kutoka Kenya.
Yanga ni mwendo wa dozi mpaka Polisi Mabingwa wa Ligi Kuu NBC Yanga imeendeleza rekodi ya kucheza mchezo wa mzunguko 28, bila kupoteza baada ya kuifunga Polisi Tanzania mabao 2-0 kwenye mchezo wa leo.
Yanga yaanza na mabadiliko watatu Saa 12:30 jioni mabingwa wa Ligi Kuu Bara Yanga itakuwa na mchezo wa mzunguko wa 27, dhidi ya Polisi Tanzania kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa.
Kocha mpya Simba ni huyu... BILIONEA wa Simba, Mohammed ‘Mo’ Dewji ameondoka nchini juzi Jumapili kwenda Dubai, huku nyuma akiweka mazingira mazuri kwa mabosi wa klabu hiyo katika kukisuka kikosi cha timu hiyo, lakini utamu...
Kyombo asaini miwili Simba BAADA ya kumalizana na Moses Phiri kutoka Zanaco ya Zambia ikimpa mkataba wa kuitumikia Simba, mabosi wa timu hiyo hawajalala kwani wamenasa mashine nyingine mpya kwa ajili ya msimu ujao.
Phiri: Makombe yanakuja, atoa ramani ya kubeba CAF STRAIKA mpya wa Simba, Mzambia Moses Phiri amewaambia mashabiki kwamba lengo lake la kwanza ni kubeba makombe.
Muda wowote wanatua.... IMEBAKIA mizunguko minne kabla ya Ligi Kuu Bara kumalizika, huku baadhi ya timu zikianza maandalizi ya msimu ujao hasa usajili. Kuna baadhi ya nyota kutoka ndani na nje ya nchi wamezivutia...
Morrison aitingisha Simba YANGA imekamilisha usajili wa mshambuliaji kutoka Asec Mimosas, Stephano Ki Aziz wakati huo huo taarifa za ndani ya klabu hiyo zinaeleza imekamilisha usajili wa Benard Morrison kutoka Simba.
Nabi: Kwa silaha hizi mtakoma, amtaja Aziz Ki, Morrison INGAWA Yanga hawajatangaza rasmi kumsajili winga Bernard Morrison, lakini habari za ndani na uhakika ni kuwa winga huyo ambaye msimu huu ameitumikia Simba yupo tayari kumwaga wino kwenye yake...
Kibu: Tulieni muone mambo! KIKOSI cha Simba kinaendelea kujiwinda na mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mbeya City na jana asubuhi ilicheza mechi ya kirafiki na Cambiaso na kuifunga mabao 3-2, huku mshambuliaji wao kinara wa...