Ratiba yaanza kuwa chungu Manchester City MATUMAINI ya Arsenal kutwaa taji la Kombe la Ligi yameongezeka baada ya Manchester City kufahamu wapinzani wao katika hatua ya tano ya Kombe la FA jambo linalowafanya kukabiliwa na ratiba ngumu...
Mourinho: Kweli? Kila uwanja anaocheza Vini Jr una shida JOSE Mourinho amesema kwamba “kuna jambo hutokea” katika kila uwanja anaocheza Vinícius Júnior, baada ya nyota huyo wa Real Madrid kudai kuwa alitukanwa kwa misingi ya ubaguzi wa rangi na...
Saka asaini mkataba mpya Arsenal, kulipwa kibosi HABARI ndo hiyo. Bukayo Saka amesaini mkataba mpya wa miaka mitano kwenye klabu ya Arsenal na kumfanya kuwa mchezaji anayelipwa zaidi katika kikosi hicho chenye maskani yake Emirates.
Rekodi tamu za CP3 akisepa NBA KIZAZI cha mastaa wa mwanzoni mwa miaka 2000 katika Ligi ya Kikapu Marekani (NBA), ndiyo kinaondoka taratibu katika mashindano hayo ambayo yamekuwa yakichagizwa na ushawishi wa nyota kutoka...
Mgunda hataki kurudia makosa BAADA ya vipigo viwili mfululizo katika mechi za Ligi Kuu Bara, kocha mkuu wa Namungo, Juma Mgunda amesema hatarajii kurudia makosa kwenye pambno lijalo la michuano ya Kombe la Shikirikisho la...
Ouma atumia mechi za CAF kuitisha Copco FC KOCHA Mkuu wa Singida Black Stars, David Ouma amesema licha ya kushindwa kutinga robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika, lakini wamepata somo zuri wanalotaka kuanza kulitumia kesho Alhamisi...
Mkenya Pamba Jiji hesabu kwa vigogo LICHA ya Pamba Jiji jioni ya leo kuwa na kibarua cha kukabiliana na Alliance FC katika mechi ya hatua ya 64 Bora ya Kombe la Shirikisho (FA), kocha wa timu hiyo Francis Baraza amesema akili na...
Droo robo fainali CAF ni kivumbi na jasho MAMBO ni moto. Shirikisho la Soka Afrika (CAF), limefanya droo ya robo fainali za Ligi ya Mabingwa Afrika huku likizipanga Esperance de Tunis na Al Ahly kumenyana kwenye hatua hiyo ya nane bora.
Tuchel kichwa kinauma! MIEZI minne kutoka sasa, England itarusha kete yake ya kwanza kwenye fainali za Kombe la Dunia 2026 kwa kumenyana na Croatia mjini Dallas, Marekani. Lakini, shughuli anayo kocha wa England...