Search

893 results for Thomas Ng'itu :

  1. Samatta, Bocco wapya waanza kutengenezwa

    NDOTO ya kutengeneza mastaa wapya kama Mbwana Samatta na John Bocco imeendelea kuonekana baada ya wadau wengi kuwekeza nguvu katika soka la vijana nchini. Wadau mbalimbali wamekuwa...

  2. Simba ishindwe yenyewe CAF

    SIMBA ishindwe yenyewe tu kwa Asec Mimosas baada ya kuangukia mikono salama kwa kupangiwa mwamuzi mwenye rekodi mbaya dhidi ya wapinzani wao katika mchezo wa makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika...

  3. Stars yapewa mwamuzi wa kadi

    Kikosi cha timu ya Taifa kesho kinashuka dimbani kutupa karata yake ya kwanza katika mchezo wa kufuzu kombe la Dunia dhidi ya Niger mchezo utakaochezwa saa 1:00 usiku nchini Morocco kwenye uwanja...

  4. Sikia alichokisema Baleke

    THOMAS NG’ITU NYOTA na kinara wa mabao wa Ligi Kuu kwa sasa, Jean Baleke wa Simba amevunja ukimya na kusema anafurahi kuona anakaribia kufikia idadi ya mabao aliyofunga msimu uliopita...

  5. PRIME Siku 12 za moto Simba

    Klabu ya Simba kutoka leo inakuwa imebakiza siku 12 za moto kwa ajili ya kujiandaa na kucheza mchezo wa hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa dhidi ya Asec Mimosas. Simba itakuwa mwenyeji katika...

  6. Mbombo, Akaminko kikaangoni Azam

    Mastaa wa Azam FC, Idris Mbombo, James Akaminko na Abdulai Iddrisu wamekalia kuti kavu na huenda wakatolewa kwa mkopo katika dirisha dogo msimu huu linalotarajia kufunguliwa Disemba 16 mwaka huu.

  7. Kitambi: Simba hii ‘mchuzi juu’

    KOCHA mkuu wa Namungo, Denis Kitambi ametaja siri ya Simba kwamba inatumia zaidi upande wa beki wake Shomari Kapombe katika kupeleka mashambulizi kwa njia ya krosi kwa kutumia neno la ‘mchuzi...

  8. Singida Big Stars yalia Ligi ngumu

    KOCHA msaidizi wa Singida Fountain Gate, Thabo Senong amesema ligi kuu bado ni ngumu na haitabiriki kwa sababu kila timu inakuja tofauti katika mchezo husika. Thabo amesema hayo baada ya...

  9. Manula aanza na gundu

    KIPA wa Simba, Aishi Manula amerejea na gundu baada ya kuruhusu mabao matano katika mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Yanga uliochezwa jioni ya leo Uwanja wa Mkapa. Manula amekaa langoni wakati timu...

  10. Kariakoo dabi zaidi ya pointi tatu

    Dabi ya Kariakoo, Simba na Yanga kwa sasa zinatazamwa kibiashara zaidi, tofauti na mwanzo ambapo vita yao kubwa ilikuwa ni kuwania pointi tatu muhimu na kuwapa raha mashabiki wao, huku...

Previous

Page 3 of 90

Next