JKT Queens v Yanga Princess, mechi ya ubingwa BAADA ya kupoteza mchezo dhidi ya Simba Queens wikiendi iliyopita, JKT Queens itashuka tena Uwanja wa Mej Gen Isamuhyo ikiikaribisha Yanga Princess.
Paten aumiza kichwa ujio wa wimbo mpya MSANII anayetamba na kibao cha Afande, Dogo Paten amesema licha ya kwa sasa kuwa bize na kufanya shoo, pia anaumiza kichwa kutoa nyimbo nyingine zitakazopendwa kama ilivyo kwa wimbo huo.
Mnoga amaliza kibabe chama jipya la Beckham BEKI wa Kitanzania, Haji Mnoga anayekipiga Salford City ya England amemaliza kibabe msimu akifunga bao moja na asisti nne.
Jaruph afurahishwa na mwaliko wa Oman KOCHA wa timu ya taifa ya Soka la Ufukweni ya Tanzania (Beach Soccer), Jaruph Juma amesema kualikwa Oman kutawaongezea kitu kutokana na nchi hiyo kupiga hatua katika mchezo huo.
Mida ya Simon Msuva kupiga mkwanja MSHAMBULIAJI Simon Msuva anayekipiga Al Talaba ya Ligi Kuu ya Iraq, Iraq Stars League, anamaliza mkataba wake na klabu hiyo mwishoni mwa msimu huu na inaelezwa anatakiwa na klabu za Misri na...
Samatta Uefa ndo basi tena, arudi Europa League KITENDO cha chama la nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Samatta, PAOK kushindwa kuingia nafasi mbili za juu kwenye michuano maalumu ya Super League ya Ligi Kuu ya Ugiriki, kimeikosesha tiketi ya...
Simba yaitandika JKT, yachungulia ubingwa WPL KATIKA kuhakikisha Simba Queens inakaa kileleni na kujiweka katika nafasi nzuri ya kuutetea ubingwa wa Ligi ya Wanawake imeitandika JKT Queens mabao 4-3.
Mastaa hawa kuamua dabi ZIMESALIA siku mbili kabla ya kushuhudia mtanange wa Dabi ya Dar es Salaam kati ya JKT Queens na Simba Queens kwenye Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo jumatano hii.
Ngorongoro ina dakika 90 za uamuzi AFCON-U20 BAADA ya timu ya taifa ya vijana, Ngorongoro Heroes kupoteza mechi mbili za awali za Kundi A katika vita ya kuwania ubingwa wa Afrika (AFCON-U20), kwa sasa timu hiuo ina dakika 90 za kufufua...
Fountain Princess yasaka tatu Mashujaa KOCHA Mkuu wa Fountain Gate Princess, Camil Mirambo amesema wanahitaji kupata pointi tatu kwenye mechi ya leo dhidi ya Mashujaa Queens ili kuitafuta nafasi ya nne.