Yanga yarudi kileleni, rekodi mpya yaandikwa YANGA imeendeleza rekodi katika Ligi Kuu Bara baada ya jana kuifumua KMC kwa mabao 6-1 kwenye Uwanja wa KMC Complex, uliopo Mwenge, jijini Dar es Salaam, huku Stephane Aziz Ki akifunga hat trick...
Mtoto wa Matumla apewa KO ya Mama Februari 22, mwaka huu kwenye Ukumbi wa City Centre, Magomeni, Mafia Boxing inatarajia kufanya pambano lingine kubwa la Knockout ya Mama, huku mtoto wa bondia mkongwe zamani, Rashid Matumla...
CHAUBAYA - Bondia anayeikumbuka Sh300 ya matenga ya nyanya "RIZIKI ni popote mtu wangu zidisha, piga kwata. Na ofisi ni miguu yako tafuta utapata." Hiyo ni moja kati ya mistari iliyopo katika wimbo wa Ofisi ni Miguu ulioimbwa na mkongwe wa Bongo Fleva...
PELEMBELA: Nilimuokoa mshkaji nikacheza pambano, nikashinda AHMED Pelembela ni mmoja kati ya mabondia wachanga wanaohitaji kuangaliwa mwaka huu kutokana na uwezo wa mkubwa ndani ya ulingo alionao akiwa chini ya bondia wa zamani ambaye pia ni kocha...
Mapya yaibuka bondia aliyezimia ulingoni Dar, ahamishiwa Moi BONDIA wa Ngumi za Kulipwa Tanzania, Mohamedi Mnemwa, amepewa rufaa ya kupelekwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kwenye kitengo cha Mifupa Moi kufuatia kipimo cha CT Scan kuonyesha damu...
Copco yatupwa nje kombe la FA, yabamizwa 5-0 YANGA leo ilikula kiporo cha mechi za Kombe la Shirikisho kiulaini baada ya kuifumua Copco ya Mwanza kwa mabao 5-0, huku nyota mpya wa kikosi hicho, Jonathan Ikangalombo ‘Ikanga Speed’ akishindwa...
MWAKYEMBE: Bondia asiyesahau 'mauzauza' safari nzito ya ngumi JINA la Mwakyembe sio geni kwa wenyeji wa Soko la Mabibo, Dar es Salaam ambalo ni maarufu kama Mahakama ya Ndizi, lakini ni geni kama utakuwa mgeni katika soko hilo.
CADABRA: Bondia halafu bishoo haswaa Majina makubwa Kinondoni katika upande wa burudani basi katu huwezi kuliacha jina la mkongwe wa Bongo Fleva, Top in Dar ingawa wengi wanamtambua kama TID lakini kabla ya kujiita Kigogo.
Ingia toka dirisha dogo la usajili Bara DIRISHA dogo la usajili Ligi Kuu Bara na michuano mingine ya ndani limefungwa juzi Januari 15 na tumeshuhudia klabu mbalimbali zikivuta silaha mpya kutokana na mapendekezo ya benchi la ufundi...
Mudy Pesa: Bondia muuza vijora afunguka alivyoona maluweluwe ulingoni UKISIKILIZA tamko la serikali lililotolewa wikiendi iliyopita na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamisi Mwinjuma ‘Mwana FA’ kuwa asiruhusiwe kucheza ngumi za kulipwa bondia...