PRIME Simba v Stellenbosch hatari ipo hapa UNAKUMBUKA mwaka 1993 wakati Simba inacheza fainali ya Kombe la CAF ambalo baadaye 2004 likaunganishwa na Kombe la Washindi kisha kuzaliwa Kombe la Shirikisho Afrika? Basi kwa kukukumbusha tu ni...
Kocha Stellenbosch: Simba ni timu hatari CAF Kocha wa Stellenbosch FC, Steve Barker, amesema Simba SC ni moja ya timu hatari zaidi kwenye mashindano ya Kombe la Shirikisho Afrika, akisisitiza kuwa ubora wa Wekundu wa Msimbazi hauishii kwa...
Mashabiki Simba wataka mechi iishie Zanzibar Mashabiki wa Simba ambao wamesafiri kutoka sehemu mbalimbali za Tanzania wanaamini kuwa timu yao itaimaliza vizuri mechi ya nusu fainali kwenye Uwanja wa New Amaan, Zanzibar, na safari ya Afrika...
Shabiki Yanga asafiri kutoka Shinyanga kuishangilia Simba Shabiki wa Yanga ambaye amejitambulisha kwa jina la Malik amesema kwamba amesafiri kutoka Shinyanga kwa ajili ya kuwashuhudia watani zao, Simba wakicheza mchezo wa nusu fainali ya kwanza ya Kombe...
Nyumba za wageni tishio Zanzibar, Simba v Stellenbosch CAFCC Ikiwa imesalia siku moja kabla ya mechi ya nusu fainali ya kwanza ya Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Simba na Stellenbosch, hali ya Zanzibar imeanza kubadilika kwenye maeneo ya makazi karibu...
PRIME Miaka 32 ilivyoikomaza Simba CAF KATIKA klabu za Tanzania ambazo zimepambana na kupitia mengi kwenye michuano ya kimataifa huenda Simba ikawa inaongoza.
Straika Stellenbosch aingiwa ubaridi, adai Simba ni hatari Kwa mara nyingine macho na masikio ya wapenda soka yataelekezwa Zanzibar, Jumapili hii, pale Simba itakapoumana na Stellenbosch ya Afrika Kusini katika mchezo wa nusu fainali ya kwanza ya Kombe...
Kocha Mwingereza aitabiria Simba makubwa KOCHA wa zamani wa Simba, Dylan Kerr aliyepo kwa sasa Marekani kwa mapumziko, ameshindwa kujizuia na kuwatabiria Wekundu wa Msimbazi kufika fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika...
Tabora United, KenGold hazichekani KATIKA hali isiyo ya kawaida kwa timu mbili zilizo katika nafasi tofauti kabisa kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara, Tabora United na KenGold zimejikuta kwenye mkondo mmoja wa matokeo baada ya...
PRIME Mastaa Simba wakwepa mtego CAF KITENDO cha mastaa wa Simba SC kucheza kwa nidhamu kubwa dhidi ya Al Masry katika michezo miwili ya hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika, kimewaepusha na mtego wa CAF unaoweza...