Tanzania yajipanga kutwaa ubingwa wa kombe gofu Afrika Timu ya Tanzania ya mchezo wa gofu, wametamba kutwaa ubingwa wa mashindano ya gofu Afrika yanayotarajia kuanza Septemba 6 jijini Dar-es-Salaam. Mashindano hayo ya gofu yanayojulikana Kama 'All...
Timu 17 kuwania ufalme wa soka mkoa wa Arusha Jumla ya timu 17 zinatarajia kuchuana vikali katika mashindano ya Ligi ya mkoa wa Arusha yanayotarajia kuanza Jumamosi Septemba 3 mwaka huu katika viwanja mbalimbali. Akizungumzia mashindano...
Yanga yaandika rekodi mpya Bara ikiichapa Coastal Klabu ya Yanga imeandika rekodi mpya Ligi Kuu Bara ya kucheza mechi 39 bila kupoteza baada ya kuifunga Coastal Union mabao 2-0 kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha.
Polisi, KMC zatunishiana misuli Timu za Polisi Tanzania na KMC zimeonyesha kila mmoja kuwa na njaa ya pointi tatu katika mchezo wa Ligi Kuu NBC unaotarajiwa kuchezwa kesho saa 10:00 jioni katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid...
Coastal hawana chao Sheikh Amri Abeid KLABU ya Coastal Union ya Tanga, inatarajia kushuka dimbani leo saa kumi dhidi ya mabingwa watetezi Yanga huku wakikosa mkwanja wa kuuza jezi zao.
Coastal yaitangulia Yanga mapemaa Timu ya Coastal Union imetangulia mapema uwanjani, kujiandaa na mchezo wao wa Ligi Kuu NBC dhidi ya Yanga katika uwanja wa sheikh Amri abeid Arusha.
Polisi, Yanga ngoma ngumu Dakika 45 za kipindi cha kwanza mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Polisi Tanzania dhidi ya Yanga zimekamilika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid Arusha timu hizo zikifungana 1-1.
Mayele anyanyua nyomi Arusha Mshambuliaji wa Yanga, Fiston Mayele amepokelewa kwa shangwe na mashabiki wa soka mkoani Arusha alipokuwa akitoka ndani ya vyumba vya kubadilisha nguo kuingia uwanjani kwa ajili ya kupasha misuli.
Rais Samia mgeni rasmi mkutano wa CAF Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa mkutano mkuu wa wa 44 wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF) utakaofanyika Jumatano Agosti 10 katika ukumbi wa mikutano wa...
Yanga yatwaa kombe la ASFC 2021/22 TUMECHUKUA tena hii kaui ambayo imesikia kutoka kwa mashabiki wa Yanga baada ya timu hiyo kuifunga Coastal Union 4-1 kwenye penati na kutwaa ubingwa wa Kombe la Shirikisho Azam (ASFC) 2021/22.