Jack Grealish avamia jezi ya Rooney JACK Grealish hatimaye amefanikiwa kukimbia benchi huko Manchester City baada ya kusajili mkataba wa mkopo wa msimu mmoja huko Everton.
Duh! Eti avuliwe Odegaard avae Rice STAA wa zamani wa Arsenal, Anders Limpar ameungana na gwiji wa klabu hiyo, Tony Adams kutaka kiungo Martin Odegaard avuliwe kitambaa cha unahodha wa klabu hiyo.
Droo Mabingwa Ulaya yadaiwa ni mchongo BAADHI ya mashabiki wa klabu za Ligi Kuu England wanaamini droo ya Ligi ya Mabingwa Ulaya ni kama kuna upangaji wa matokeo baada ya kuhusisha wachezaji kwenda kumenyana na timu zao za zamani...
Rashford kachangia dili la Sancho Villa STAA wa mkopo Aston Villa, Jadon Sancho amefichua kwamba alizungumza na Marcus Rashford kabla ya kukubali uhamisho wa kwenda kukipiga Villa Park katika siku ya mwisho ya dirisha kufungwa.
Erik ten Hag ajibu kwa uchungu KOCHA Erik ten Hag kwa hasira amewashutumu mabosi wa Bayer Leverkusen kwamba hawakuwahi kuwa na imani juu yake wakati wanamkabidhi majukumu ya kuinoa timu hiyo ya Bundesliga.
Kariakoo Dabi kufungua pazia la Ligi Kuu Bara Septemba 16 Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetangaza kuwa mchezo wa Ngao ya Jamii kufungua msimu mpya wa Ligi Kuu Bara 2025/26 utapigwa Septemba 16, 2025 jijini Dar es Salaam.
Maema aiwahi Simba Misri KIUNGO mpya wa Simba, Neo Maema ataungana na kikosi cha timu hiyo kambini jijini Cairo nchini Misri leo tayari kuanza maandalizi ya msimu mpya.
He! Sikia hii ya Viktor Gyokeres POLISI nchini Sweden imeripotiwa kufanya uchunguzi tukio la kufyatuliwa kwa risasi iliyodaiwa ulikuwa mpango wa kumteka mtu aliyehusika kwenye uhamisho wa straika mpya wa Arsenal, Viktor...
Kumbe ishu ya Sesko ameumiza wengi KITENDO cha Manchester United kumnasa straika Benjamin Sesko hakikuacha tu masikitiko kwa Newcastle United bali kwa vigogo kibao Ulaya, imeelezwa.
Aguero aitaja Man City, Foden STAA wa zamani wa Manchester City, Sergio Aguero anaamini timu hiyo itanyakua ubingwa wa Ligi Kuu England msimu huu na kiungo mshambuliaji Phil Foden atabeba tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka.