Utamu wa UEFA umefikia hapa, Atalanta ikiishangaza Dormtund JANA Jumatano zimechezwa mechi nne za mtoano katika Ligi ya Mabingwa Ulaya kukamilisha idadi ya timu 16 ili kuanza mchakamchaka wa hatua inayofuata kwenye michuano hiyo. Hiyo ni baada ya juzi...
Waachana baada ya uchumba wa siku tatu STAA mmoja wa soka ametangaza kuwa ameachana na mchumba wake siku tatu tu baada ya kumvisha pete ya uchumba uwanjani.
SOMOE NG’ITU: Ndoto ilianzia kuwa rubani hadi ubosi soka la wanawake KUNA wanawake wanaosubiri bahati na kuna wanaoijenga kwa mikono yao kwa kuthubutu kuandika hatima zao upya pale ndoto zinapobadili mwelekeo.
Julio ashtuka, aomba mechi za kirafiki JAMHURI Kihwelo ‘Julio’ baada ya kuiongoza Mashujaa katika mechi mbili akiwa kocha mkuu akishinda zote ikiwamo dhidi ya Mtibwa Sugar Ligi Kuu na ile ya Kombe la Shirikisho mbele ya Nkim...
Snoop aenda kuona timu yake Swansea BOSI wa Preston, Paul Heckingbottom, alitania kwamba aliweza kunusa harufu ya bangi katika korido za uwanjani wakati Snoop Dogg alipohudhuria mechi yake ya kwanza ya moja kwa moja ya Swansea City.
Courtois amkosoa Jose ishu ya Vini KIPA, Thibaut Courtois amekuwa mtu mwingine wa hivi karibuni kukosoa kauli zilizotolewa na Jose Mourinho kuhusu ushangiliaji wa Vinicius Junior dhidi ya Benfica. Kipa huyo wa Real Madrid alisema...
Neville: Huyu Carrick anampa somo Amorim GARY Neville anaamini kuwa kufufuka kwa Manchester United chini ya Michael Carrick kutamlazimisha Ruben Amorim kufanya mabadiliko atakaporejea tena kwenye ukocha.