MAKALA MAALUM: Anguko la TP Mazembe - 2 Katika toleo lililopita, tuliona historia ya klabu ya TP Mazembe kuanzia mwanzo wake, maana ya jina lake na mafanikio yake ya miaka ya 1960 na mwanzoni mwa miaka ya 1970. Leo tutaangalia anguko...
MZEE WA FACT: Simba walijipiga risasi mguuni dhidi ya Wydad Wawakilishi wa Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba SC wametolewa na mabingwa watetezi, Wydad Casablanca katika moja ya mechi bora sana kwa timu za Tanzania.
MTU WA MPIRA: Kuna sehemu tulimkosea heshima Robertinho wapi? SIMBA imeondoshwa kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika. Imeondoshwa kiume na mabingwa watetezi Wydad Casablanca kwa mikwaju ya penalti. Nani aliamini haya? Hakuna. Baada ya Simba kupata ushindi...
MAKALA MAALUM: Anguko la TP Mazembe -1 MWAKA 2010, klabu ya TP Mazembe kutoka Lubumbashi, DRC, ililiwakilisha vyema Bara la Afrika na kufika fainali ya klabu bingwa ya dunia. Wapinzani wao kwenye mchezo wa fainali walikuwa Inter...
KIJIWE CHA SALIM SAIDI SALIM: Magwiji wa kriketi na magari walioacha rekodi miaka ya 1960 hadi 1970 kutokana na kuwashinda waendeshaji magari maarufu duniani kama Joginder Singh wa Kenya na wengine kutoka Finland, Ujerumani na Uingereza. Mwaka 1968 wakati wa Pasaka nikiwa...
MZEE WA UPUPU: Youssouph Dabo anakuja Tanzania Je, ni timu gani? Senegal zinadai hivyo. Kwa mujibu wa mwandishi maarufu wa Senegal, Saikou Seydi, Dabo atajiunga na klabu ya Azam ya Dar es Salaam. Mwandishi huyo aliandika hayo kupitia mtandao wa...
Mahadhi: Yanga walimleta mama uwanja wa ndege Yanga na kuniambia anataka kunipa kazi maalumu. “Yanga walikuwa na mshambuliaji hatari sana wakati huo anaitwa Idd Moshi na kocha aliniambia nifanye mambo yote lakini Moshi asifunge bao...
RIPOTI MAALUM: Tatizo kuwafungia waamuzi hakujatoa majibu Mwenyekiti wa Kamati ya Waamuzi, Nassor Amduni anasema: “Kwa sasa siwezi kufanya tathmini ya kiwango cha waamuzi kama kimeongezeka au kimepungua lakini msimu ukimalizika naweza kufanya hivyo kwa...
MZEE WA UPUPU: Gerrard Pique alipopita njia ya Juma Nature mama wa miaka 33. Penzi likaenda mbali na kugeuka ndoa iliyoleta duniani watoto wawili wa kiume, Milan na Sasha. Lakini majira ya baridi mwaka jana, ikabainika kwamba Pique alikuwa akitoka...
MZEE WA UPUPU: Alichokisema Conte kwa Spurs ndiyo ugonjwa unaitafuna Azam FC KOCHA wa Tottenham Hotspur ya England, Antonio Conte, amekuwa gumzo wiki iliyopita baada ya kuwachana wachezaji na viongozi wa timu yake mbele ya waandishi wa habari na tayari amefukuzwa juzi...