Messi kujifunga Barcelona Baada ya staa wa Barcelona, Lionel Messi kufikia makubaliano ya awali ya kubaki kwenye klabu hiyo mpaka Juni 2023, sasa staa huyo anatarajiwa kusaini mkaba mpya wa miaka mitano.
Duh! Waarabu kuikomoa Simba WAARABU wamechukizwa na kipigo. Bao la kiungo mshambuliaji wa Simba, Luis Miquissone dhidi ya Al Ahly linaelezwa kwamba limewafanya mabosi wa klabu hiyo ya Misri kutaka kumng’oa Konde Boy.
Papaa Zahera huyu hapa... Mapema wiki hii kamera za gazeti la Mwanaspoti lilimnasa aliyekuwa Kocha Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zaera akitoka hotelini. Zahera ambaye alikuwa pia Mkurugenzi wa Ufundi wa Gwambina FC anahusishwa...
Viwanja vitano vyapigwa 'stop' Ligi Kuu Vilevile viwanja ambavyo viko kwenye marekebisho ni Majaliwa (Ruangwa, Lindi), Sokoine (Mbeya), na Kaitaba (Bukoba).
Simba, Yanga kurudi na ndege moja Baadhi ya nyota wa Simba na Yanga leo Agosti 23 wamegongana uwanja wa ndege wa Mohamed V uliopo jijini Casablanca, Morocco na wote wanarudi na ndege moja. SOMA ZAIDI: Yanga yasitisha kambi...
Huyo Balama ndo basi tena! KIUNGO machachari wa Yanga, Mapinduzi Balama ni kama ameonyeshewa mlango wa kutokea kutokana na kupotezewa kimtindo baada ya kupewa matibabu ya kutosha.
Mbeumo amshawishi Baleba atue Man United STAA wa Manchester United, Bryan Mbeumo ameripotiwa kumhamasisha mchezaji mwenzake wa Cameroon, Carlos Baleba waungane pamoja Old Trafford.
Aliyekuwa CEO Simba afariki dunia, klabu yamlilia Uongozi wa Simba umeeleza kusikitishwa na kifo cha aliyekuwa mtendaji wake mkuu, Dk Anorld Kashembe.
Aucho, Mukwala wachemsha Uganda KIUNGO nyota wa Yanga, Khalid Aucho na mshambuliaji wa Simba, Steven Mukwala wamechemsha huko Uganda baada ya kushindwa kubeba tuzo tuzo za mashabiki kwa wachezaji wanaocheza nje.
Jamani msikieni Kassim Mganga HAKUNA cha Ally Kiba, Diamond wala Dully Sykes. Kassim Mganga wa Tiptop Connection amedai eti hakuna msanii wa kumfunika Bongo kwa kuimba nyimbo za mapenzi.