Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

8505 results for Mwandishi Wetu :

  1. Beki Arsenal adai kuna presha ya ubingwa

    BEKI wa boli, Jurrien Timber amekiri kuwa wachezaji wa Arsenal wanaweza kuhisi hali ya wasiwasi ndani ya Uwanja wa Emirates wakati mbio za ubingwa wa Ligi Kuu England zikiingia kwenye hatua muhimu.

  2. Casemiro ampendekeza Bruno Man United

    KIUNGO Casemiro amemtaja staa wa Newcastle United, Bruno Guimarães, kama chaguo bora la usajili ambao mabosi wa Manchester United wanapaswa kuufanya dirisha lijalo la usajili wakati yeye...

  3. Kocha Chelsea alalamikia kona za Arsenal

    Chelsea iliruhusu mabao yote mawili dhidi ya Arsenal kutokana na mipira ya kona katika kipigo cha 2-1 kwenye Ligi Kuu England , Jumapili.

  4. Neville atoa utabiri mpya Man United

    GARY Neville amekiri kuwa haamini sasa anaitabiria Manchester United kumaliza katika nafasi ya tatu, akizingatia walipokuwa kabla ya Michael Carrick kuchukua mikoba kutoka kwa Ruben Amorim.

  5. Klabu 25 bora Ulaya zilizotumia pesa ndefu kujenga vikosi sasa

    INASHANGAZA kuona kiwango kikubwa cha fedha kinachotumika katika soka siku hizi. Kabla ya kuingia karne ya 21, ilikuwa vigumu kufikiria klabu kutumia zaidi ya mamia ya mamilioni katika usajili.

    VILABU Pict
  6. Ana kwa ana na Wabrazili wa Chelsea wanaogandana muda wote

    Ni wazi kuwa kiongozi wao ni Joao Pedro anapoketi kwa mahojiano, katika mgahawa anaoupenda tangu alipojiunga na Watford akiwa kijana.

    PEDRO Pict
  7. ELIZABETH ILANDA; Riadha ilivyombadilishia maisha, anapiga mzigo, kusoma Marekani

    KULIKUWA na asubuhi za ukungu mzito kijijini Lighwa, wilayani Ikungi, mkoani Singida, Jogoo akiwika, ng’ombe wakitoka zizini na watoto wakikimbia barabarani peku bila viatu kwenda shuleni.

    ELIZABETH Pict
  8. Ukizungumza kwa kujiziba mdomo uwanjani, nyekundu

    RAIS wa FIFA, Gianni Infantino, amefichua kuwa wachezaji wanaweza kutolewa nje kwa kadi nyekundu endapo watainua jezi zao na kufunika midomo wanapozungumza na wachezaji wa timu pinzani.

    NYEKUNDU Pict
  9. Kompyuta yatoa msimamo EPL, Arsenal bado kidedea!

    SHUGHULI imeshakuwa nzito. Chelsea itakosa tiketi ya kucheza Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu ujao kwa mujibu wa utabiri wa kompyuta maalumu, ambayo imefichua Liverpool ndiyo itakayomaliza kwenye...

    KOMPUTA Pict
  10. Slot aomba ufafanuzi penalti ya Man United

    KOCHA wa Liverpool, Arne Slot, ameitaka Ligi Kuu England kutoa ufafanuzi kuhusu kutokuwapo kwa uwiano katika maamuzi muhimu ya waamuzi, baada ya kulinganisha kadi nyekundu aliyoonyeshwa Maxence...

    SLOT Pict
Previous

Page 186 of 851

Next