Msako wa tiketi ya CAF WIKIENDI hii hatua ya 32 Bora katika Kombe la Shirikisho (FA) inakwenda kuchezwa baada ya ile ya 64 kumalizika huku tukishuhudia timu moja kati ya 16 za Ligi Kuu Bara ikitoka mapema.
Mechi tano zatibua mambo Mbeya City MWENENDO usioridhisha wa Mbeya City kwa sasa katika mechi za Ligi Kuu msimu huu, zimemweka kwenye wakati mgumu kocha wa timu hiyo, Mecky Maxime, huku presha ikizidi zaidi baada ya juzi kikosi...
Mashabiki wa Simba sasa wanapona KATIKA mchezo wa Ligi Kuu ya NBC, Dabi ya Kariakoo kati ya Yanga na Simba uliochezwa Jumapili iliyopita kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar ilishuhudiwa watani hao wa jadi wakitoka...
Trump asema hajali Iran ikijitoa Kombe la Dunia 2026 RAIS wa Marekani, Donald Trump amesema hajali kama Iran itashiriki Kombe la Dunia 2026 au la, ambalo litaandaliwa kwa pamoja na Marekani, Mexico na Canada wakati wa majira yajayo ya kiangazi.
Guardiola anang’ata, anapuliza kuhusu kona PEP Guardiola amemwambia Arne Slot kwamba anapaswa kupambana na hali juu ya ongezeko la umuhimu wa mipira ya adhabu katika Ligi Kuu England huku akipiga kijembe Arsenal kwamba wamekuwa vinara wa...
Sakata mkataba mpya wa Bruno Man United KIUNGO wa boli, Bruno Fernandes hatatafuta uhakika wa kuhusu usajili wa mastaa wake kwenye kikosi cha Manchester United kwenye dirisha lijalo la majira ya kiangazi kabla ya kuamua mustakabali wake.
Van Dijk amtwisha lawama Chiesa BEKI wa kati na nahodha wa Liverpool, Virgil van Dijk ameelekeza lawama zake kwa Federico Chiesa baada ya bao la ushindi la Wolves katika dakika ya 94 uwanjani Molineux kwenye mchezo wa Ligi Kuu...
Arteta: soka la kuvutia ni gumu England MIKEL Arteta anadai kuwa haiwezekani kucheza soka la kuvutia kwenye Ligi Kuu England.
Man United yaweka mzigo kwa Bruno Fernandes MANCHESTER United ipo tayari kumpa kiungo wake wa kimataifa wa Ureno, Bruno Fernandes, ofa mpya ya mkataba itakayomuingizia mshahara wa hadi Pauni 400,000 kwa wiki.
SCORPION STYLE: Zao la mbwembwe za Higuita uwanjani SEPTEMBA 6, 1995 England ilitoka suluhu (0-0) na Colombia katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa uliochezwa kwenye Uwanja wa Wembley.