Jurgen Klopp atamani kurudi mzigoni KOCHA wa zamani wa Liverpool, Jurgen Klopp anaweza kufanya uamuzi wa kushangaza na kurejea tena kufundisha soka baada ya kuanza kuhisi hamu ya kurudi kwenye benchi la ufundi.
Robbie Keane kupewa kimeo Spurs TOTTENHAM Hotspur inaripotiwa kumfikiria Robbie Keane kama kocha mpya kwa ajili ya msimu ujao huku ikijaribu kukabiliana na kipindi kigumu zaidi katika historia ya hivi karibuni ya klabu hiyo.
Kocha mpya Morocco atuma salamu kwa wachezaji KOCHA mpya wa timu ya taifa ya Morocco, Mohamed Ouahbi, ameahidi kuendeleza mafanikio makubwa yaliyopatikana hivi karibuni huku akisisitiza kuwa uteuzi wa wachezaji utazingatia kiwango cha...
FIFA yamfungia staa ES Tunis kwa utapeli wa Sh1 bilioni SHIRIKISHO la Soka la Kimataifa (FIFA) limemfungia mchezaji wa kimataifa wa Algeria, Youcef Belaïli, kutojihusisha na soka kwa muda wa mwaka mmoja kufuatia mgogoro wa kisheria na klabu yake ya...
Nahodha Super Falcons asikitishwa kuahirishwa kwa WAFCON 2026 NAHODHA wa timu ya taifa ya wanawake ya Nigeria maarufu Super Falcons, Rasheedat Ajibade, ameeleza kusikitishwa kwake na uamuzi wa ghafla wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF) wa kusogeza mbele...
Arsenal yanogewa na Piero Hincapié, kumsajili moja kwa moja KLABU ya Arsenal imeripotiwa kuridhishwa na kiwango cha beki wa kimataifa wa Ecuador, Piero Hincapié, tangu ajiunge na timu hiyo kwa mkopo akitokea Bayer Leverkusen, na sasa imepanga kumsajili...
Luis Figo aingilia mvutano wa Kylian Mbappé GWIJI wa soka wa klabu za Real Madrid na Barcelona, Luis Figo, ametoa maoni yake kuhusu mvutano unaoendelea juu ya jeraha la mshambuliaji wa Ufaransa, Kylian Mbappé, akisisitiza kuwa uamuzi wa...
FRMF yamrithisha Mohamed Ouahbi mikoba ya Walid Regragui SHIRIKISHO la Soka la Morocco (FRMF), limemtangaza Mohamed Ouahbi kuwa Kocha Mkuu mpya wa timu ya taifa ya nchi hiyo, akichukua nafasi ya Walid Regragui.
Mashindano ya WAFCON 2026 yapelekwa mwezi Julai SHIRIKISHO la Soka barani Afrika (CAF), limetangaza kuahirishwa kwa michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake (WAFCON 2026), uamuzi uliotolewa siku 12 zikisalia kabla ya kuanza kwa...
Paul Scholes amkataa Michael Carrick Man United NYOTA wa zamani wa Manchester United, Paul Scholes amemrushia dongo Kocha wa Manchester United, Michael Carrick baada ya timu hiyo kupoteza kwa mabao 2-1 dhidi ya Newcastle United, licha ya...