Apple Music yawaunganisha Vanillah, Burna Boy, Rema
MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva, Vanillah amepata shavu katika Kampuni ya kimataifa ya Apple Music ambapo ameingia katika mpango wao wa kushirikishwa na wasanii wengi wa kimataifa akiwamo Burna Boy na...