Sancho afichua siri ya Marcesa KOCHA wa Chelsea, Enzo Maresca amewaambia wachezaji wake kwamba wajifunze kumaliza mechi mapema baada ya kuwaachia Crystal Palace nafasi ya kurudisha bao na kufanya mchezo umalizike kwa sare...
Olmo, Pau wamkasirikia rais Barca NYOTA wa Barcelona Dani Olmo na Pau Victor wanaripotiwa kuwa na hasira na rais wa timu hiyo Joan Laporta baada ya Barca kushindwa kuwaandikisha tena wachezaji hao.
Dani Olmo pasua kichwa Barca BARCELONA ipo kwenye hatari ya kumpoteza Dani Olmo baada ya kukwama kwenye rufaa ya kumwandikisha mchezaji huyo kwenye kikosi.
Kocha West Ham apewa mechi mbili KOCHA Julen Lopetegui ameripotiwa kwamba amepewa mechi mbili za kuamua hatima ya kibarua chake kwenye kikosi cha West Ham United.
Madrid yachomoa kwa Van Dijk REAL Madrid imeripotiwa kwamba imepiga chini mpango wa kumsajili beki wa Liverpool, Virgil van Dijk baada ya wakala wa Mdachi huyo kumtoa ofa kwa wababe hao wa La Liga.
De Bruyne kujiunga timu haijacheza mechi KIUNGO, Kevin De Bruyne inadaiwa kwamba yupo kwenye hatua za mwisho kabisa za kujiunga na timu ambayo haijawahi kucheza mechi hata moja.
Rosicky ataka ubosi Arsenal STAA wa zamani wa Arsenal, Tomas Rosicky anaripotiwa kuwa kinara kwenye mbio za kufukuzia nafasi ya kuwa mkurugenzi mpya wa michezo wa timu hiyo.
Jude Bellingam kinara wachezaji wenye thamani kubwa duniani Taasisi ya uchunguzi ya CIES Football Observatory imetoa orodha ya wachezaji 100 wenye thamani kubwa zaidi duniani kwa sasa, huku staa wa Real Madrid, Jude Bellingam akiwa namba moja.
Tyson, Paul hatihati kuzichapa LILE pambano kali linalosubiriwa kwa hamu kati ya nguli wa mchezo huo, Mike Iron Tyson dhidi ya Jake Paul, huenda likasitishwa kutokana na tatizo la kiafya lililomkumba bingwa huyo wa zamani wa...
Mashabiki washangazwa Yanga kumtimua Gamondi Baada ya Yanga leo Ijumaa Novemba 15, 2024 kutoa taarifa ya kumtimua kocha wao Miguel Gamondi bila kutaja sababu, mashabiki wa timu hiyo wamegawanyika katika mitandao ya kijamii.