Neto aomba radhi kwa kumsukuma 'ball boy' WINGA wa Chelsea, Pedro Neto ameomba radhi hadharani baada ya kumsukuma muokota mipira ‘ball boy’ wakati wa mechi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya PSG katikati ya wiki hii.
Murillo atajwa Man United MANCHESTER United imeongeza jina la beki wa kimataifa wa Brazil, Murillo Santiago Costa dos Santos, 23, kwenye orodha ya wachezaji inaopambana kuwasajili katika dirisha lijalo la usajili la...
Bernardo akiri ugumu Man City UCL baada kipigo cha Madrid Nahodha wa Manchester City, Bernardo Silva, amesema matumaini ya timu yake kusonga mbele katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya yako katika hali ngumu baada ya kupokea kichapo kizito cha mabao...
Usipojipanga BDL imekula kwako WAKATI timu zikisubiri kutangaziwa tarehe ya kuanza kwa Ligi ya Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (BDL), timu zitakazoshindwa kujipanga vizuri huenda zikajikuta zikikumbana na vichapo vya kushangaza...
Mchujo Ukonga Kings si mchezo MAMBO ni moto! Kama ulidhani kwamba Ukonga Kings kumepoa, sahau. Kinachoelezwa ni kwamba utakuwapo mchujo wa kusaka vipaji kwa ajili ya kuunda kikosi kitakachoshiriki mashindano ya Ligi ya Kikapu...
Bandari, Planet kinapigwa fainali ya pili JOTO la fainali ya pili ya Dunda Swish Tournament linazidi kuzikumba timu za Bandari Mwanza na Bugando Planet.
Mabosi Juventus wajitosa dili la Silva JUVENTUS imeanza mazungumzo na wawakilishi wa kiungo wa Manchester City na timu ya taifa ya Ureno, Bernardo Silva ambaye mkataba wake unatarajiwa kumalizika mwisho wa msimu huu.
Makocha saba mlangoni Spurs MAMBO si shwari. Tottenham Hotspur imendelea kuzorota chini ya kocha Igor Tudor. Kipigo cha aibu cha mabao 5-2 ilichopata kutoka kwa Atletico Madrid usiku wa Jumanne kilikuwa cha nne mfululizo...
Tudor akiri mambo magumu Spurs KOCHA Igor Tudor amekiri kuwa mambo yote yanaonekana kwenda vibaya Tottenham Hotspur huku shinikizo likiongezeka juu ya nafasi yake baada ya aibu waliyoipata katika mechi ya Ligi ya Mabingwa...
Sancho anavyopuna pesa Man United JADON Sancho ameonekana kuwa kosa la gharama kubwa sana tangu aliposajiliwa na Manchester United.