Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

9675 results for Mwandishi :

  1. Isak, Gyokeres waiponza Sweden

    STRAIKA, Alexander Isak amefichua hasira zaidi baada ya Sweden kushindwa kufanya vizuri kwenye mechi za kufuzu Kombe la Dunia licha ya kuwa na fowadi ya kiwango cha dunia.

    SWEDEN Pict
  2. Tuchel kumweka kikao Jude Bellingham

    KOCHA wa timu ya taifa ya England, Thomas Tuchel ameweka wazi kwamba atakaa kikao na staa wa Real Madrid, Jude Bellingham kujadili mustakabali wake katika kikosi cha timu hiyo.

    TUCHEL Pict
  3. Tajiri Brooklyn Earick akataa kuiuza Tottenham

    TAJIRI Brooklyn Earick ameamua kuondoa rasmi ofa yake ya Pauni 4.5 bilioni ya kuinunua klabu ya Tottenham Hotspur, baada ya familia ya Lewis kusisitiza hawatoiuza kwa pesa yoyote ile.

    SPURS Pict
  4. Harry Kane afunguka kurudi England

    KAPTENI wa timu ya taifa ya England, Harry Kane, 32, amefuta tetesi za kutaka kurejea tena England na kusisitiza yupo tayari kusaini mkataba mpya wa kuendelea kusalia.

    HARRY Pict
  5. Mashabiki, wachezaji wazichapa baada ya timu kupigwa 6-0

    Mechi ya soka ya Northern Premier League Division One West nchini England, imesitishwa baada ya kutokea ugomvi kati ya mashabiki na wachezaji dakika sita kabla ya kumalizika.

    MASHABIKI Pict
  6. Nchi nne zaomba kuandaa Kombe la Dunia Wanawake 2031

    Maafisa wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Marekani wamethibitisha kuwasilisha kwa pamoja zabuni ya kuandaa michuano ya Kombe la Dunia Wanawake 2031 na nchi za Mexico, Costa Rica na Jamaica.

    DUNIA Pict
  7. Kocha Liverpool bado anamtetea Wirtz

    KOCHA wa Liverpool, Arne Slot amemtetea kiungo wake ghali Florian Wirtz baada ya kushambuliwa sana kutokana na kuanza maisha yake Anfield kwa kasi hafifu.

    SLOT Pict
  8. Barnes, Gordon waiongoza Newcastle kuichapa Benfica ya Mourinho

    Harvey Barnes na Anthony Gordon wameipa Newcastle United ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Benfica inayoongozwa na Jose Mourinho katika Ligi ya Mabingwa Ulaya, mechi ikichezwa St James' Park, usiku...

  9. Simba, Mtibwa, TFF zamlilia Alphonce Modest

    Kufuatia kifo cha staa wa zamani wa Simba na Yanga, Alphonce Modest kilichotokea jana Jumanne Oktoba 21, 2025 akiwa nyumbani kwao Kigoma, wadau mbalimbali wa soka wamemlilia zikiwemo klabu...

  10. Simba yaingia 10 bora tuzo za CAF 2025, Pyramids, Berkane ndani

    Simba katika msimu wa 2024/2025 ilifika hatua ya fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika.

Previous

Page 175 of 968

Next