Maguire mambo magumu Man United MUSTAKABALI wa beki Harry Maguire katika kikosi cha Manchester United bado haujulikani, huku ikiwa imebaki miezi michache kabla ya mkataba kwisha.
Reece, dada’ke ‘kuzeekea’ Chelsea AHODHA wa Chelsea, Reece James ameahidi kubaki muda mrefu zaidi baada ya kusaini mkataba mpya wa miaka sita utakaomuweka Stamford Bridge hadi 2032, ambapo atakuwa na umri wa miaka 32.
Guardiola awatolea uvivu wanaomshambulia KIPIGO kinauma, wewe acha tu! Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola amewajibu watu wanaomkosoa na kumshambulia baada ya kipigo cha mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya uliopigwa wiki hii dhidi ya...
PRIME Manula amerejea Azam na utamu wake UMEKIONA kiwango cha kipa Aishi Manula pale Azam FC? Jamaa ni kama amezaliwa upya. Yupo kwenye kiwango bora utasema ndio ameanza sasa kuonyesha makali yake kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara, lakini...
Joey Barton ashtakiwa tena kwa kujeruhi BAADA ya kuandamwa na mikasa mbalimbali ya nje ya uwanja iliyomfikisha mahakamani, nyota wa zamani wa kimataifa wa England, Joey Barton, 43, ameshtakiwa kwa kosa la kujeruhi kwa nia baada ya...
Mlango wazi kwa Endrick nchini Brazil SUPASTAA wa kimataifa wa Brazil, Endrick, amekuwa gumzo nchini Ufaransa baada ya kiwango chake bora akiwa na Lyon katika Ligi Kuu nchini humo, ambayo anaichezea kwa mkopo akitokea Real Madrid.
Shai alivyovunja rekodi ya miaka 63 HABARI kubwa kwa sasa duniani katika medani za kikapu ni juu ya nyota wa Oklahoma City Thunder, Shai Gilgeous-Alexander alivyofanikiwa kuweka rekodi mpya katika Ligi ya Kikapu Marekani (NBA)...
TRA United v Simba waahirishwa, kupangwa siku nyingine Mchezo wa Ligi Kuu Bara baina ya Simba dhidi ya TRA United umeahirishwa kutokana na miundombinu ya Uwanja wa Sheikh Amri Abeid kujaa maji kutona na mvua zinazonyesha maeneo mbalimbali ya nchi.
Aliyosema Scholes juu ya Carrick yamgeukia KAMA ingekuwa Bongo basi ingekuwa rahisi kusema kwamba huo ni zengwe. Supastaa wa zamani wa Manchester United, Paul Scholes ameshangazwa na kuvunjika moyo baada ya kukosolewa kuhusu ujumbe wake...