Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

9673 results for Mwandishi :

  1. Bingwa AFL kupatikana leo, Mamelodi vs Wydad

    PRETORIA, AFRIKA KUSINI. MASHABIKI wa soka barani Afrika kuanzia saa 10:00 jioni watakuwa bize kufuatilia pambano la pili la fainali ya African Football League wakati Mamelodi Sundowns...

  2. Simba: Hatuwezi kufanya kiingilio bure

    Msemaji wa Simba, Ahmed Ally amesema klabu hiyo haiwezi kufanya kiingilio bure katika mechi ya hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Horoya Machi 18 ambayo ikishinda itafuzu hatua ya...

  3. Simba yawavuruga Al Merrikh

    KATIKA kinachoonekana bado suala la Simba kuwapora kocha wao, Didier Gomez De Rosa, limewapa mchecheto, Al-Merrikh kumtimua kocha wao Miodrag Jesic, raia wa Serbia, siku saba tu tangu...

  4. Serengeti Girls yatinga Kombe la Dunia

    Serengeti ilipata ushindi wa bao 1-0 jana, lililowekwa kimiani na Neema Paul kwa kichwa dakika ya 50 akiunganisha mpira wa kona uliochongwa na Veronica Mapunda, huku katika mechi ya awali...

  5. PRIME Nabi apewa saa 48 Kaizer Chiefs

    ALIYEKUWA kocha wa Yanga, Nasreddine Nabi amesema ndani ya saa 48 mustakabali wake na Kaizer Chiefs utakuwa umejulikana. Nabi aliachana na Yanga baada ya kumalizika kwa msimu uliopita akiwa...

  6. Fei Toto: Narudi Zanzibar kupumzisha akili, nitarudi

    Muda mchache baada ya kiungo Feisal Salum 'Fei Toto' kusaini mkataba kuitumikia Azam msimu ujao, tayari ameanza safari kurudi kwao Zanzibar. Fei Toto amesema anarudi Zanzibar kwa wiki moja...

  7. Mpepo matumaini kibao Zambia

    MSHAMBULIAJI wa Kitanzania, Eliuter Mpepo ambaye amejiunga na Tridents FC amejawa na matumaini ya kufanya makubwa akiwa na timu hiyo inayoshiriki Ligi Kuu Zambia kama ilivyokuwa wakati akiwa na...

  8. Beki la krosi mguu mmoja ndani Simba

    BAADA ya kuikandamiza Ihefu FC mabao saba ndani ya siku nne, Simba imeendeleza kilio ndani ya timu hiyo ikidaiwa kumalizana na beki wa kushoto wa timu hiyo, Yahya Mbegu.

  9. Yanga yatangulia CAF

    SARE iliyopata Simba dhidi ya Namungo na kichapo ilichopewa Azam FC kutoka kwa Kagera Sugar, imewarahisishia kazi Yanga, kwani vinara hao wa Ligi Kuu Bara imekuwa klabu ya kwanza ya Tanzania...

  10. Didier Gomes kocha mpya Simba

    KLABU ya Simba rasmi imemtambulisha Didier Gomes raia wa Ufaransa kuwa kocha mkuu wa timu hiyo na ataanza kufanya majukumu yake. Akimtambulisha mbele ya Waandishi wa Habari, Mtendaji Mkuu wa...

Previous

Page 164 of 968

Next