Mechi Zanzibar Heroes, Uganda yafutwa Mechi ya kirafiki iliyopangwa kuchezwa Juni 11, 2026 baina ya Timu ya Taifa ya Zanzibar ‘Zanzibar Heroes’ na Uganda, imeahirishwa.
Man City yakomaa na Anderson Manchester City imekataliwa ofa yao ya kwanza waliyopeleka kwa ajili ya kumsajili kiungo Elliot Anderson kutoka Nottingham Forest.
Taifa Stars yapata pigo Morocco Timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' imepata pigo baada ya kufutwa kwa ratiba ya michezo yake ya kirafiki ya kimataifa dhidi ya Uganda na Rwanda kutokana na uwepo wa tishio la ugonjwa wa Ebola.
Moallin achekelea mabao ya Dube, Depu KUNA ukame uliowapitia washambuliaji wawili wa Yanga, Prince Dube na Laurindo Aurelio ‘Depu’ sasa jamaa wametupia huko timu za taifa na kumfanya kocha wao Abdihamid Moalin amechekelea akisema ni...
Fadlu apewa mkono wa kwaheri Raja Casablanca Raja Casablanca imetangaza kuachana rasmi na Kocha wa zamani wa Simba, Fadlu Davids usiku wa kuamkia leo, Juni 12, 2026.
Uholanzi yatinga 32 bora, Tunisia ikiaga kwa aibu Uholanzi imemaliza kibabe mechi za makundi ikipata ushindi mzuri wa mabao 3-1 dhidi ya Tunisia ambayo imeacha rekodi mbaya ikiaga fainali hizo za Kombe la Dunia 2026.
Kocha wa Yanga atua AS FAR KLABU ya AS FAR ya Morocco imemtangaza rasmi aliyekuwa kocha wa Yanga, Mreno, Pedro Goncalves, kuwa Kocha Mkuu mpya wa timu hiyo, akichukua nafasi ya Alexandre Santos aliyeondolewa mwishoni mwa...
Rodri atua Barcelona NAHODHA wa Hispania, Rodri, amewasili jijini Barcelona tayari kukamilisha uhamisho wake wa Pauni 65.4 milioni (takriban Sh bilioni 220) kutoka Manchester City.
Jezi ya Pele yauzwa sh13 bilioni JEZI ya gwiji wa zamani wa soka duniani, hayati Edson Arantes do Nascimento ‘Pele’, imenunuliwa kwa kiasi cha Dola 4.9 milioni (Sh13 bilioni) katika mnada uliofanyika juzi Alhamisi, jijini New...
Vozihna aanza maisha mapya Chile, kanuni ya Ligi ikivunjwa Kipa wa Cape Verde aliyejizolea umaarufu kwenye mashindano ya Kombe la Dunia 2026, Josimar José Évora Dias maarufu kwa jina la Vozihna (40), ameanza maisha mapya Chile baada ya kujiunga na klabu...