Messi ampa mzuka dereva Formula 1 Nyota wa Inter Miami CF, Lionel Messi ametimiza ndoto ya dereva chipukizi wa Formula 1, Franco Colapinto kukutana naye kabla ya mashindano ya Miami Grand Prix nchini Marekani.
Mo Salah apata jeraha, hofu yatanda Liverpool RIPOTI zinaeleza mshambuliaji wa Liverpool, Mohamed Salah huenda asionekane tena uwanjani Anfield baada ya kupata majeraha.
Bruno Fernandes apigiwa debe mchezaji bora EPL MSHAMBULIAJI wa Manchester United, Benjamin Sesko amempigia debe nahodha wake, Bruno Fernandes kushinda tuzo ya Mchezaji Bora wa Msimu wa Ligi Kuu England 2025/26 huku akisifu mchango wake.
Luka Modric aungana na kina Salah, Simons SUPASTAA wa zamani wa Real Madrid na mchezaji bora wa dunia 2018, Luka Modric ameungana na mastaa wa Liverpool, Mohamed Salah na wa Tottenham Hotspur, Xavi Simons kumaliza msimu kwa timu zao...
Rais Ruto aipa AFC Leopards Sh2 bilioni RAIS wa Kenya, William Ruto, ameipa klabu ya AFC Leopards sababu ya kutabasamu baada ya kutangaza kuongeza udhamini wa kila mwaka wa timu hiyo hadi kufikia Ksh100 milioni (takribani TSh2...
Mashabiki West Ham wamshambulia David Sullivan Mashabiki wenye hasira wa West Ham United wamemgeukia mmiliki mwenza wa klabu hiyo, David Sullivan, baada ya timu hiyo kushuka Ligi Kuu England hadi Championship.
Conte atangaza kubwaga manyanga Napoli Kocha Antonio Conte ametangaza ataondoka Napoli msimu huu ikiwa ni miezi 12 baada ya kuiongoza klabu hiyo kutwaa ubingwa wa Serie A.
Gor Mahia yatwaa ubingwa wa Ligi ya Kenya 2025-26 TIMU ya Gor Mahia inayoshiriki Ligi Kuu ya Kenya, imetangazwa kuwa bingwa mpya wa ligi hiyo ikibakiza mechi mbili kumaliza msimu huu.
Milan walivyomtimua Massimiliano Allegri AC Milan wamemfuta kazi kocha Massimiliano Allegri baada ya kumaliza msimu vibaya, huku uongozi wa klabu ukiutaja kama kushindwa kulikotokana na namna benchi la ufundi lilivyokuwa likitekeleza...
Mkongwe wa soka Gabon auawa MWANASOKA wa zamani wa kimataifa wa Gabon, Yrondu Musavu-King, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 34 katika mazingira ambayo yameacha fumbo kuhusiana na kifo chake.