Azam hawana jambo dogo Muda mfupi kuanzia sasa (saa 8:00 mchana), Uwanja wa Azam Compex unaweza kujaa kutokana na wingi wa mashabiki waliongia.
Song, Kalou kumbe wana jambo la Dar KAMA hujui ndio ujue sasa. Si unakumbuka kwenye tamasha la Simba Day, kuna sura zilizowahi kutamba katika Ligi Kuu mbalimbali barani Ulaya zilikuwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa!
Okrah: Hizi ndo mechi zangu NYOTA mpya wa Simba, Augustine Okrah amesema kati ya mechi anazozisubiri kwa hamu ni Dabi ya Kariakoo na kufafanua yeye ni mtu wa mechi hizo na kiu yake imeongezeka baada ya kuiona Yanga. Simba...
Zoran awabana mastaa wake, awapa mambo matatu KOCHA wa Simba, Zoran Maki amewabana mastaa wa timu hiyo kwa kuwataka wafanye mambo matatu yatakayowabeba kwenye ushiriki wao wa michuano mbalimbali ikiwamo mechi ya leo ya Ngao ya Jamii dhidi ya...
Kisa Yanga, Zoran ajifungia kwa saa 2 SIKU mbili tu kabla ya kuvaana na Yanga katika mechi ya Ngao ya Jamii, benchi la ufundi la Simba chini ya Kocha Zoran Maki limejifungia na mastaa wa timu hiyo kwa ajili ya kuwekana sawa ili...
Nabi: Waleteni hao Simba YANGA inaangalia zaidi mechi ijayo ya Ngao ya Jamii dhidi ya watani wao, Simba ambapo kocha Nasredine Nabi amesema amepata namna gani ya kuingia uwanjani siku hiyo, Agosti 13, mwaka huu Uwanja wa...
Zoran: Dejan ni mtu na nusu KOCHA Mkuu wa Simba, Zoran Maki amesema akiwa kambini nchini Misri aliwaambia mabosi wake kuwa anahitaji straika mwingine mwenye kiwango bora zaidi ya waliokuwepo wakati huu ndipo wakamsajili...
Mbeya City yalamba mkataba mnono KLABU ya Mbeya City imepata udhamini kutoka kampuni ya kubashiri michezo mitandaoni ya Parimatch ambao unalenga maeneo matatu tofauti. Parimatch imetoa udhamini kwa Mbeya City kuwapa fedha...
Kilichowang'oa Kagere, Mugalu Simba chatajwa ZIMEBAKI saa kadhaa kabla ya Simba kufanya tamasha lao la kibabe la Simba Day litakalotumika kutambulisha nyota wapya na jezi mpya za timu hiyo, huku Kocha Zoran Maki akianika kilichomfanya...
Zoran aipiga mkwara Yanga SAA chache kabla ya kutesti mitambo dhidi ya St George ya Ethiopia katika mechi ya kirafiki ya kimataifa ya kuhitimisha Tamasha la Simba Dar, Kocha Zoran Maki amezichimba mkwara timu pinzani...