Ufunguzi umiseta, umishumta wanoga hotuba yake ya ufunguzi alisema; “Tumealika watalaam wa kuvumbua vipaji, kutoka Taasisi ya Mbwana Samata, pamoja na watalaamu kutoka Sweden ili kuja kuvumbua vipaji.” “Wizara katika kutimiza...
MAJALIWA KUFUNGUA UMITASHUMTA, UMISSETA kuyarusha mubashara kupitia vituo mbalimbali vya televisheni na mitandao ya kijamii hapa nchini. Amesema kwa sasa Serikali inatekeleza mradi wa kupanua na kuboresha Chuo cha Maendeleo ya Michezo...
Mamadou Sakho kuendeleza soka Zanzibar Sakho alisema kuwa ameamua kuchukua hatua hiyo ya kuanzisha kituo cha kuendeleza vipaji vya michezo Zanzibar kwa kutambua kwamba ana deni na wajibu mkubwa wa kuleta maendeleo Afrika akijuwa...
Yanga wapata mchongo mpya YANGA imeangalia mwendo wa Simba kimataifa na matokeo dhidi ya Kaizer Chiefs kwa Mkapa wakagundua kitu na kutamka kuna mambo ya kuyachukua kutoka kwa watani zao hao ili kufika kimataifa.
Serikali yasitisha bei mpya za vifurushi Saa chache baada ya kutangazwa kwa bei mpya za vifurushi, Serikali imetangaza kusitisha kutumika kwa gharama hizo hadi hapo itakapotangazwa baadaye.
Simba yapata pigo, Maalim Seif afariki dunia mwanachama kindakindaki wa Simba akishiriki hadi shughuli za ufunguaji wa matawi ya klabu hiyo na katika mahojiano maalum hivi karibuni na kituo cha luninga cha BBC Swahili, alikiri yeye ni...
Simba kutesti na Mazembe Dar MABOSI wa Simba jana wamemshusha kocha wa makipa, huku wakimsainisha kiungo fundi kutoka DR Congo, Doxa Gikanji, wakati wakimsubiri kocha mkuu mpya kutua nchini kuanzia leo ili kuwahi kuliamsha...
Ulimwengu kalianzisha tena huko TP Mazembe NANI aliyekuambia Thomas Ulimwengu amefulia? Moto alioanza nao kwa sasa ndani ya TP Mazembe, umemfanya kocha wa timu hiyo, Kazembe Mihayo kukiri jamaa kwa sasa karudi upyaa na atawasumbua sana...
Jide ni Commando zaidi ya Binti Machozi - 2 JUDITH Wambura Mbibo kesho anasherehekea siku yake ya kuzaliwa, akitimiza umri wa miaka 41. Ni mtu mzima. Lakini amepitwa miaka miwili na Shakira mwenye umri wa miaka 43, na amezidiwa miaka 10 na...
Kagere? Tunahitaji kina Samatta wengii MJADALA umekuwa ukiendelea nchini kuhusu idadi ya wachezaji wa kigeni katika Ligi Kuu ya soka Tanzania Bara kuwa ama wawe watano au kumi katika kila timu. Wadau wametakiwa kutoa maoni yao...