TPLB: TRA United v Simba mtatumia tiketi za awali Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imetangaza rasmi kuwa mchezo namba saba (7) wa Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2025/2026 kati ya TRA United FC na Simba SC utafanyika Aprili 9, 2026 katika Sheikh Amri...
PSG, Liverpool, Barcelona na Atletico kwenye vita ya nusu fainali UEFA BAADA ya jana Jumanne kushuhudia kipute cha Ligi ya Mabingwa Ulaya kikipigwa, leo Jumatano mtoko ni ulke ule na miamba ya soka inaonyeshana kazi kusaka tiketi ya nusu fainali.
Ronaldinho abariki jezi namba 10 ya Yamal GWIJI wa Barcelona na timu ya taifa ya Brazil, Ronaldinho Gaucho ameunga mkono kitendo cha kinda wa Barcelona, Lamine Yamal kurithi jezi namba 10 ya Lionel Messi, akisisitiza dogo anastahili.
Vigogo Liverpool wamepania kwa Eduardo Camavinga LIVERPOOL inajiandaa kikamilifu kwa ajili ya kuwasilisha ofa kwenda Real Madrid baada ya klabu hiyo kueleza kwamba ipo tayari kusikiliza ofa kwa ajili ya kumuuza kiungo wa Ufaransa, Eduardo...
Wellness Day ya CRDB yachochea kuimarisha afya MAZOEZI ya viungo, michezo na elimu ya afya vilitawala uzinduzi wa programu ya Wellness Day ya Benki ya CRDB, hatua inayolenga kuimarisha utimamu wa mwili na akili kwa wafanyakazi wake ili...
Zidane aweka msimamo, Chelsea na PSG wapigwa chini IMEFICHUKA. Baada ya Kocha Zinedine Zidane kuachana na Real Madrid, miamba ya England, Chelsea ilimfungia kazi kuipata huduma yake lakini akawakaushia.
Oscar ahofia maisha yake, astaafu soka INATOSHA. Ndiyo,, nyota wa zamani wa Chelsea Oscar dos Santos Emboaba Junior ‘Oscar’, ameamua kutundika daruga ili kunusuru maisha yake kutokana na maradhi yanayomsumbua.
Kipengele kipya cha Cyber ubashiri wa Esports, burudani zaidi na fursa AfroPari inaendelea kuboresha jukwaa lake ili kuongeza uwezekano wako wa kushinda. Ndiyo maana kampuni hii ya kubashiri imezindua kipengele kipya cha Cyber ndani ya aplikesheni ya simu kwa ajili...
Ulaya kumechangamka, Ronaldo akitikisa Saudia KWA mashabiki wa Barcelona, Bayern Munich na PSG ni mwendo wa vicheko tu baada ya timu zao kuwa hatua chache kutwaa ndoo za Ligi Kuu katika mataifa yao huku vigogo wa soka Italia wakiendelea na...
Usiku wa vipingamizi, vigogo kuvurugana robo fainali UEFA CL HATUA ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa msimu huu rasmi itaanza leo na kuna jumla ya mechi za mkondo wa kwanza zitakazopigwa kule Hispania na Ureno.