Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

9663 results for Mwandishi :

  1. Michael Carrick afunguka kuhusu Solskjaer

    KOCHA wa muda wa Manchester United, Michael Carrick amefichua Ole Gunnar Solskjaer amekuwa akimpa sapoti na kumtia moyo licha ya kumshinda katika kinyang'anyiro cha kuwania kazi ya ukocha Old...

    CARRICK Pict
  2. Badala ya AJ, Furry kuzitwanga na huyu

    BAADA ya kupoteza pambano la pili mfululizo dhidi ya Oleksandr Usyk Desemba 2024 na baadae kuamua kustaafu ndondi, Tyson Furry ametangaza atarejea ulingoni mwaka huu ikiwa imepita miezi 14 tangu...

  3. Bao la Sadio Mane laiingiza Senegal fainali Afcon 2025

    STAA, Sadio Mane amefunga bao pekee wakati Senegal walipoichapa Misri na kutinga fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika 2025 (AFCON) na hivyo kumaliza ndoto ya Mohamed Salah ya kushinda taji lake...

    MANE Pict
  4. Van Dijk ashambuliwa, mwenyewe asingizia upepo

    BEKI wa Liverpool, Virgil van Dijk amekosolewa vikali baada ya kufanya makosa yaliyosababisha timu yake kupoteza kwa mabao 3-2 mbele ya Bournemouth, Jumamosi usiku licha ya mwenyewe kujitetea...

    VAN Pict
  5. Brama Traore adai Ivory Coast mziki mnene

    STALLIONS wa Burkina Faso wameondolewa katika michuno ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 hatua ya 16 bora, baada ya kupoteza kwa mabao 3-0 mbele ya watetezi Ivory Coast, huku kocha wa...

    TRAORE Pict
  6. Hussein Masalanga atua Yanga

    KLABU ya Yanga, imemchukua kwa mkopo wa miezi sita golikipa wa Singida Black Stars, Hussein Masalanga ambaye atahudumu kikosini hapo hadi mwisho wa msimu huu.

    MASALANGA Pict
  7. Peter Manyika kuagwa Mbezi, kuzikwa kesho Kinondoni

    Kipa na Kocha wa zamani wa makipa wa Yanga na timu ya taifa 'Taifa Stars', Peter Manyika anatarajiwa kuzikwa kesho, Jumatano, Januari 28, 2026 katika Makaburi ya Kinondoni, Dar es Salaam.

  8. Singida Black Stars yamrudisha nchini Raheem

    Singida Black Stars imekamilisha usajili wa aliyekuwa El Mahalla ya Misri, Raheem Shomary kwa kumsainisha mkataba wa miaka miwili kuitumikia timu hiyo huku mwenyewe akitaja sababu za kurudi...

    SINGIDA Pict
  9. PRIME Tchakei achomolewa Yanga, sababu yatajwa

    Soma hapa

    TCHAKEI Pict
  10. Mavitu ya Japhet Makarai yamkosha Tico Tico

    KAIMU Kocha Mkuu wa TMA ya jijini Arusha, Omary Matwiko 'Tico Tico', amesema tangu winga mpya, Japhet Vedastus Makarai, ajiunge na kikosi hicho katika dirisha dogo la Januari 2026, ameleta...

    MAKARAI Pict
Previous

Page 150 of 967

Next